Diva Loveness Awachana Mbaya Trace TV na MTV Africa..Ukiona Video Zimechezwa Huku Ujue Ushikaji Au Umefanya Ngoma na Mnigeria Or Msouth Africa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtangazaji wa Clouds FM Radio Amefunguka Haya Kuhusu Channel za Kubwa Mbili Africa za Music..Amendika Haya kwenye Ukurasa wake wa Instagram:

Yaan Trace is full Of Bullshit ... kiufupi it sucks.. Nyimbo Za Tanzania Ukiona Zimepigwa. Ujue Ushkaji labda either umefanya kazi nao or mshkaji wako anajuana nao , nomination zenu pia za awards same trend .. Mpaka Mtu awe featured na wasanii wenu ndio atakuwa nominated for MTV africa or hizo awards zingine .. Bongo mbona wasanii wetu wakali kuliko nyie ... wabinafsi nyie sana ... yaan ili uwe kwao with the trend ni Uwe Umefanya track na M south Africa or Mnigeria .. you guys praise all of this Bs yaan.. wonder if Nyimbo zetu Kwao zinapigwa katika clubs yaan itakuwa hivyohivyo.. umeshirikiana nao or ushkaji or mshkaji wao mshkaji wako .. hamna zaidi.

Sioni Ajabu hata wimbo wa Mtu ukichezwa huko naona kawaida tu. not even Proud kusema ukweli... ukiangalia Trace Siku Nzima List ya wanamuziki wa Nigeria ndio usiseme .. na wanarudi hatari same playlist .. hizo mnazorudia kama kweli mnakuza muziki wa africa mngeweka za amataifa mengine esp Tanzania ambao Muziki wetu una viwango hasa .. well Improved kwa video hata zetu wenyewe
.... video zao zenyewe ubora wao siooo hivyooo.. zinafanana maudhui ndo usiseme labda wizkid wangu ndo he is too local for days .... ila Mbona Bongo kuna Kazi Nzuri tu nyie trace .. tena video kali kweli ...

hamna msichana mwaka huu kafanya video kali kama Ruby na Yule ila sababu hana ushkaji wimbo wake hautaonekana ... or sababu hajashirikisha brand zenu za nigeria mixer south africa basi video haitachezwa hata kama imetumwa kwenu.. wabinafsi sana nyie .. mtu akiwa katika playlist yenu ni lazima awe kafanya kazi na nyinyi or else you want them to Kiss yo ass or something.
Annoying Channel.

Mbona sisi Creative sana tu .. au ndo mpaka tuje ku shoot video South Africa or nigeria na directors wenu ?! mbona video Director'z Bongo wakali zaidi yenu? location mbona tunazo nyie trace?! Yo Music Video Playlist is on the same trend Mwezi mzima like what the heck . badilikeni bwana
Mbona shilole mkali kuliko Yemi alade video zake hamchezi? hata kama katuma mtabana? sometimes am always like .. what am i even watching? same playlist .. creativity on za same spot .. Quality ka zetu tu .. and I'm like Oi. sucks
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nani atakuskia malaya wewe piga kimya hata nyie na radio yenu mbona mmewakumbatia kina lina na nyimbo zao kuanzia asubuhi hadin jioni wanasikika wao tuu.

    ReplyDelete
  2. I miss Radio Tanzania ile ndio ilikuwa true&fair radio hizi za sasa hivi zote ni miyeyusho kishenzi pozi nyingi for nothing mnatia maudhi sana kudadeki mjirekebishe na kizazi chenu kipya fake

    ReplyDelete
  3. Huyu kuma hana la kuongea, malaya mkubwa wewe, hyo redio yenu mbona hamuwezi kupiga nyimbo za watu fulani fulani, au umekuwa nyani asiyeona MKUNDU wake kazi kuona MIKUNDU ya wenzake.

    ReplyDelete
  4. acheni matusi nyie...kilichosenwa ni ukweli mtupu kila cku video nyingi ni za NIGERIA mnataka kusema hakuna video nyingine za Africa mnazotumiwa kali kuliko hizo mnazoplay mara kwa mara

    ReplyDelete
  5. Mme sahau kuwa juma nature alisha ingia na nyimbo ya africa namba one mwaka fula
    n hivi

    ReplyDelete

Top Post Ad