Johari: Nina Mtoto Sawa, Mnataka Kumjua Baba yake ili iweje?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Johari
Staa wa Bongo Movies, Blandina Chagula  ‘Johari’ amedai kushangazwa na watu wanaoshindwa kufanya mambo yao binafsi na kuanza kufuatilia maisha yake pamoja na mtoto wake.


ohari ameiambia Bongo5 kuwa anaishi kwa furaha na mwanae licha baadhi ya watu kumfuatilia na kutaka kujua mtoto wake amezaa na nani kitu ambacho hapendi kukiweka wazi kwa sasa.
“Sidhani kama kuna mtoto ambae anakosa baba,” amesema muigizaji huyo.


“Siku nitapokuwa tayari nitamweka wazi baba yake ili waridhike. Kwa sababu nashangaa watu wanaingilia vitu vyangu private. Katika maisha yangu mimi sio mtu wa matangazo, nianze kutangaza nina mimba! Nimejifungua sina hizo, mimi ninachotaka watu waache kufuatilia privacy yangu, yaani waendelee kufuatia kazi zangu na sio vitu vinavyoandikwa na magazeti ya udaku. Mimi ninachoshukuru Mungu nipo happy pamoja na mwanangu,” ameongeza.


Katika hatua nyingine Johari amesema filamu yake ijayo inaitwa ‘Mapenzi ya kweli hayafi.


“Kuna movie mpya ambayo natarajia kutoa hivi karibuni inaitwa Mapenzi ya kweli hayafi, yaani ‘True love never die’ ambayo nimecheza mimi Irene Uwoya na Single Mtambalike Rich. Hii ni idea ambayo nilipata mimi mwenyewe kichwani kwangu na nikaamua kuifanyia kazi.”

Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad