Maskini Timu yatu ya Taifa Yachapwa Bao Tatu Bila na Misri..Kocha Azidi Kujifungulia Milango ya Kutimuliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku huu mjini Alexandria.

Mabao yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nimeuangalia mpira huo live(on the telly)yaani hiyo team yetu ya taifa ilivyo perform ni aibu walikuwa hawana ile togetherness every player was playing 4 himself and most of the time walikuwa wanapelekwa speed na wa Misri yaani duh ilikuwa ghadhabu kuungalia huu mpira walivyocheza Taifa Stars duh sijui hao wachezaji wanaoiwakirisha hiyo team wanachaguliwa kivipi maana viwango vyao vya kulisakata kandanda international ni very very god damnit poor and a big shame kwa uchezaji huo tutakuwa siku zote ni wasindikizaji tu

    ReplyDelete

Top Post Ad