Mchepuko Umeninyoa ikulu, Umenipiga Picha na Kumtumia Mke Wangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wiki iliyopita ilikuwa mbaya sana kwangu, nina mchepuko mpya niliempata kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzangu. Ni mazuri sana kwa sura na shepu.Tulikubaliana Jumamosi ndio tukapige mechi ya mchangani. Jumamosi niliona ni siku nzuri kwa kuwa wife angekuwa kazini night shift.

Nikakutana na mchepuko muda wa saa sita mchana kwa ajili ya lunch na bia kidogo.Tukala na kunywa hadi muda wa saa moja usiku ndipo tukachukua chuma kwa hali ya ulevi na hamu ya kitu kipya nikapiga non stop mabao mawili ndipo nikalala kama mfu mchepuko ulininyoa nywele za ikulu kisha ukanipiga picha kwa simu yake.

Akachukua simu yangu na kuisaka namba ya mke angu, kisha akaisevu kwake na kumtumia pia aliyonipiga kwa simu yake. Ujumbe ulitumwa kwa Whatsapp ukiwa na picha yangu nikiwa uchi kitandani na nimenyolewa nywele za chini. Ujumbe wa maneno ulikuwa unasomeka ndio ujue huyu wetu wote tuheshimiane. Akiwa kwako ni wako akiwa kwangu ni wangu tusiumbuane
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiv watu mtaakuja kuacha lin ushenz na kuheshim ndoa zenu? Mke wako angekua katenda hayo ungekua tayar kusikilza? Na mlaaniwe watu wote mnasalit ndoa zenu

    ReplyDelete
  2. Tamaa nyingi mbele ni giza vitumbua vyote ladha yake ni ile ile tu hizo pilika za dakika kadhaa juu ya kinena cha mwanamke zinawa cost sana wenye tamaa za fisi wengine wanakumbwa na magonjwa ya zinaa kuvuruga ndoa/mahusiano na kadhalika lakini hiyo ni nature ya binadamu either mwanamme au mwanamke mchepuko haukwepeki ulikuwepo upo na as long as binadam exists na mchepuko utakuwepo tu

    ReplyDelete
  3. Kweli mhuni ni mhuni tu unaona sifa kutuambia habari zako za kishenzi za kubadilisha hao malaya wenzio mnaofanana nao akili. Mwanaume mpumbavu kabisa zinaa itakuuwa na mshahara wa dhambi ni mauti utazunguka mabucha yote nyama ni ileile utamuuwa mkeo mshenzi mkubwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad