Shangazi Yangu Ananibaka na Kunisaga Kila Mara toka Nikiwa Mdogo, Nifanye?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi naitwa Nasra na nina mika 24, hilo nalileta kwenu jambo lango wana-jf naomba mnisaidie ushauri ili niwe kutatua tazizo hili linalonikabili hapa chini.

Baada ya mama yangu kufariki 2001 kuna shangazi yangu (ambaye ni mke wa mjomba wangu) alinichukua kwa minajil ya kunilea na kunisomesha ila amekuwa akinisaga tokea niko mdogo mpaka sasa! ambapo nikiwa mdogo wakati nimelala nilikuwa nashtuka yupo juu yangu na mimi nipo uchi huku ananinyonya matiti na sehemu nyingine za mwili na baadae alikuwa anapanda juu yangu na kunilalia huku akifanya vitu fulani mpaka ananimwagia vitu fulani katika sehemu zangu za siri na kuniambia ninyamaze nisimwambie mjomba "eti atanipa pesa ya kutumia shule na kunipeleka na gari, alipokuwa akimaliza baadae alikuwa akiniogesha na kuninunulia vitu vitamu vitamu. Nilinyamaza maana sikujua jambo lile ila aliendelea kila mara mchezo wake huo.


Baadae niliamua kumuomba mjomba wangu anipeleke Unguja nikaishi na mama yangu mdogo maana nilikuwa nachukia kitendo kile na niliogopa kumwambia mtu teyote maana shangazi yangu ndiye alikuwa kila kitu, pesa zote za shule na mahitaji muhimu alinipatia yeye maana mjomba alikuwa kasimamishwa kazi kwa kipindi kile. Shangazi alikataa mimi kwenda Zanzibar ila nililia sana mpaka akakubali, nikaenda unguja na kuendelea na masomo yangu tena kama kawaida tena kwa amani.

Nilimaliza elimu ya sekondari na baadae shangazi akaja kunifata tena na kusema anaomba akakae na mimi maana kuna mama yake ambaye ni mgonjwa yupo nae so ningemsaidia kumuudumia!

Nilikubali ila nikajua kwa mara hii hatajaribu ule mchezo wake maana nimeshakuwa sasa, ila amekuwa akiendelea mpaka sasa kunifanyia hivyo na kuniambia nisimwambie mtu.

Sasa ndugu zangu naomba mnisaidie ushauri nifanyaje? Na tabia hiyo mimi siipendi na yeye ndiye ananiwezesha kwa kila kitu kuanzia ada, mavazi, chakula, hata mara nyingi ananipeleka beach mbalimbali ili niweze kuvumilia mchezo wake, ILA KIUKWELI SIPENDI MCHEZO WAKE NA TABIA ZAKE PIA ZISHANICHOSHA

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha nidhamu za uwoga binti dawa ni moja tu kataa hiyo michezo ya kishetani kwa kumaanisha usikubali kumfungulia mlango ukiwa umelala ucku ataacha mwenyewe km ukimaanisha. Ukiona anaendelea kukusumbua mwambie mjomba wako ukishindwa ondoka hapo hapakufai. Msaada wake usikufanye ukawa mtumwa wa mambo yake ya kishetani. Mbali na hapo ukiendelea kukaa kimya utakuwa unamaanisha unakubaliana na mambo anayokufanyia na kurithishwa tabia usiyoipenda na isiyokubalika kwa Mungu na kwa wanadamu pia.

    ReplyDelete
  2. Usijali kama yeye ndio anakupa kila kitu basi wewe vumilia alafu kuwa kama una participate kwani uuri huwei pata mimba alafu utawea kukidhi haja ako a kimapeni na baadaye ukampata mwanemume wako baada ya kumalia masomo...Pole sana lakini mara nyingine muombe Mungu akurehemu ila tekelea anayotaka uwee kukidhi mahitaji yako kwa sasa.....

    ReplyDelete
  3. Kiukeli si vizuli ila kama ndio msaada kwako aina budi kukaa kimya kwani ata ukisema aiwezi saidiya zaidi tu uta jialibiya malengo yako ww mpe ila anacho kuwaidi akupe kwani uwezi pata mimba angaliya mipango yako to kitiki basi

    ReplyDelete
  4. Kiukeli si vizuli ila kama ndio msaada kwako aina budi kukaa kimya kwani ata ukisema aiwezi saidiya zaidi tu uta jialibiya malengo yako ww mpe ila anacho kuwaidi akupe kwani uwezi pata mimba angaliya mipango yako to kitiki basi

    ReplyDelete

Top Post Ad