MREMBO Jokate Mwegelo Ataka Kujiua Kisa Penzi la Mwanaume Aliyempenda Kupindukia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MMMH...JOKATE NAYE HAVUMI LAKINI YUMOOO....ANGALIA HAPA ALIVYOPOZI NA HASHEEM THABIT WAKATI PENZI LIKIWA BADO MOTOMOTO!!!......... IMEFICHUKA: JOKATE ATAKA KUJIUA!  Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo zimesheheni.

Akizungumza katika spesho intavyu na gazeti namba moja la mastaa Bongo, , wikiendi iliyopita, Jokate au Jojo alifunguka kwamba, japokuwa haikujulikana kwa watu wa nje kutokana na usiri mkubwa uliofanywa na ndugu zake, akiwemo mama mzazi, lakini ameona ni vyema akaweka wazi ili watu wajifunze namna ambavyo mapenzi yanaweza kuharibu mustakabali mzima wa maisha ya mtu.

Jokate ambaye amewahi kutajwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mastaa mbalimbali Bongo wakiwemo staa wa mpira wa kikapu ambaye ni Mbongo anayekipiga nchini Marekani, Hasheem Thabeet Manka, wanamuziki, Ali Saleh Kiba, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM, alisema hakuona sababu ya kuendelea kuishi bila mwanaume huyo..

By Mateja

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad