SIWEMA wa NAY wa Mitego Yamemshuka..Ajirudi na Kumpigia Goti Nay wa Mitego ili Warudiane Kumlea Mtoto Pamoja..Nay Asema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


PAMOJA NA MAJIGAMBO LUKUKI KUTOKA KWA SIWEMA HATIMAYE KETE IMEGEUKA NA KUJIKUTA AKIMWANGUKIA NAY WA MITEGO ILI WARUDIA TAYARI KWA KULEA PAMOJA MTOTO WAO!! Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni ndugu wa Siwema kilieleza kuwa, pamoja na  maneno ya shombo aliyommwagia Nay wakati wanaachana, mrembo huyo kwa sasa ameweka nyodo kando na kuomba asamehewe..... Kilidai kwamba hivi karibuni, mmoja wa dada wa Siwema (jina linahifadhiwa) amekuwa akimpigia simu Nay akimuomba arudishe moyo wake kwa Siwema, kwani tangu aachane naye mambo yamekuwa yakienda kombo ikiwemo ule msala wa kesi inayoendelea mahakamani ya kujipatia mali isivyo kihalali.

Baada ya kumwagiwa ubuyu huo,  lilituma kijumbe kumfikishia Nay ombi hilo la Siwema ambapo alikuwa na haya ya kusema:

  • Kweli nimepokea simu za msamaha. Nimemsamehe lakini siwezi kurudiana naye.

Kwa upande wake mama Nay alisema yeye ndiye alikuwa mtetezi wake lakini kwa sasa hataki kusikia ishu hiyo.
GPL Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizi ndio news bwana usijifanye hujaziona, bosi wako mbona kaliwa mchana kweupee

    http://www.williammalecela.com/2015/06/zari-za-boss-lady-anaishi-nyumba-moja.html

    ReplyDelete
  2. NAY MSAMEHE MWENZIO MLEE WATOTO JAPO ANAONEKANA KICHECHE GIVE HER SECOND CHANCE NA we mama we nae ni mwanamke mhurumie mwenzio acha kutia chumvi we ni mzazi msamehe huyo binti aje alee mwanae akileta za kuleta ndio mazima mfukuzeni huyu kajirudi sababu kaona maisha yamekuwa magumu na urembo wake hauna thamani tena mrudishe msamehe ye ni binadamu saba mara sabini

    ReplyDelete
  3. mimi sielewagi mama makwe kwenda kuingilia mapenzi yawatoto wao hapa mama mkwe upande wa mume. hivi huwa wanaona wao pia wamewaoa?????????????

    ReplyDelete
  4. mimi sielewagi mama makwe kwenda kuingilia mapenzi yawatoto wao hapa mama mkwe upande wa mume. hivi huwa wanaona wao pia wamewaoa?????????????

    ReplyDelete
  5. mimi sielewagi mama makwe kwenda kuingilia mapenzi yawatoto wao hapa mama mkwe upande wa mume. hivi huwa wanaona wao pia wamewaoa?????????????

    ReplyDelete

Top Post Ad