STEVE NYERERE Atikisa Jimbo la Kinondoni Mbio za Ubunge 2015..Nimekuwekea Picha Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Staa wa Bongo Movies, Steven Mangere ‘Nyerere’ amewaomba wanawake wasihadaike na kanga na vitenge wakipewa na baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongoziili wawachague.
Steve aliitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) nakuwahimiza vijana wa Kinondoni wajitokeze kujiandikisha kwenye daftari la kudumu ili waweze kuchagua viongozi watakaoweza kuifikisha Kinondoni sehemu wanayotaka.

Katika mkutano huo, Steve alisindikizwa na wasanii mbalimbali akiwemo JB, Wasta, Bi Mwenda, Chuchu Hans, Johari,Ray Nyamayao, Esha Buheti, Thea na Bi Star

“Kinondoni tunaweza kuondokana na mafuriko kama tutachagua kiongozi atakayeweza kurekebisha miundombinu ya wilaya yetu”alieleza Steve huku akishangiliwa.

Mtanzania
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duka lao la sinema limebloo so lazima mtu ajaribu kuja kwa mipigo mingine hizo ahadi zake anazozitoa sasa akipita na kuwa sijui mbunge manaake siyo 100%bali ni 1000%sure kuwa hayo ayasemayo hatoyafuatilia kabisaaaaa atakuwa anaenda kusinzia bungeni akiamka posho yake mfukoni na huko Kinondoni anapodai ana uchungu napo kwa kuwa amezaliwa huko kama anavyodai mwenyewe hamtamuona tena na kama bahati mkimuona yumo ndani ya ndinga full air conditioned vioo tinted anawacheka nyinyi mliompapatia kumpa kura zenu viongozi bongo bado saaaana hamna mwenye uchungu na wananchi walala hoi wao ni kimaslahi tu ndio inayowapekeka kujifanya nao ni wanasiasa najua kuna wadau walipinga hilo na kutukana lakini jaribuni kuangalia deep down huyo mgombea alikotokea si aliwahi kuwa madaraka bongo movie kama chairman je alifikia wapi?Akawa na scandal za kuhisiwa na wenzake kama anawatia ndani akalazimika kuachia ngazi leo hii hizo gea za ubunge ili aisadie wilaya ya Kinondoni haya uingieni huo mkenge mtayakumbuka haya nisemayo sasa anajiita "Nyerere"it doesn't mean yuko wise and clever clean hearted kama alivyokuwa mwenyewe original Mwl.Nyerere

    ReplyDelete
  2. Duka lao la sinema limebloo so lazima mtu ajaribu kuja kwa mipigo mingine hizo ahadi zake anazozitoa sasa akipita na kuwa sijui mbunge manaake siyo 100%bali ni 1000%sure kuwa hayo ayasemayo hatoyafuatilia kabisaaaaa atakuwa anaenda kusinzia bungeni akiamka posho yake mfukoni na huko Kinondoni anapodai ana uchungu napo kwa kuwa amezaliwa huko kama anavyodai mwenyewe hamtamuona tena na kama bahati mkimuona yumo ndani ya ndinga full air conditioned vioo tinted anawacheka nyinyi mliompapatia kumpa kura zenu viongozi bongo bado saaaana hamna mwenye uchungu na wananchi walala hoi wao ni kimaslahi tu ndio inayowapekeka kujifanya nao ni wanasiasa najua kuna wadau walipinga hilo na kutukana lakini jaribuni kuangalia deep down huyo mgombea alikotokea si aliwahi kuwa madaraka bongo movie kama chairman je alifikia wapi?Akawa na scandal za kuhisiwa na wenzake kama anawatia ndani akalazimika kuachia ngazi leo hii hizo gea za ubunge ili aisadie wilaya ya Kinondoni haya uingieni huo mkenge mtayakumbuka haya nisemayo sasa anajiita "Nyerere"it doesn't mean yuko wise and clever clean hearted kama alivyokuwa mwenyewe original Mwl.Nyerere

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wabunge wa TZ daah!
      1.Uwe Mtanzania.
      2.Ujue kusoma na kuandika kiswahili na si lazima usome vyuo.
      3.Ujue kuongea.
      ???????
      TUOMBE MUNGU SANA.

      Delete

Top Post Ad