Wadau Waupokea Wimbo Mpya wa Q Chief Vizuri ..Wengi Wauisifia..Nimekuwekea Comments za Wadau Hapa Kuhusu Huo Wimbo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana nilikuwekea Video katika blog hii ya Mwanamuziki Q Chief na Kuandika 'Huu Wimbo Mpya Usimpo Mtoa Q Chief Tena Basi Kuna Walakini..Embu na Wewe Angalia Hii Video'
Sasa hapa nimekuwekea Comments za Wadau kutoka Instagram Jinsi walivyoukubali Wimbo huo:

Mrekebishatabia:
@qchief wewe ni msanii bora, hujawahi kukosea...hongera sana! #Maria #MdogoMdogo

melisasymon
Duuh yaan nimejikuta nalike mara mbili haahaa kila la heri kwako kaka

lucaselias908 
Uo wimbo unaitwaje nautaka jamani

kanyinya1
Endiwoooo, yani am happy karudi huyu jamaa ni noma!! Tunataka vitu kama hizi buana, nyimbo ukiiskiza mpaka mtu unasisimka mwili, raha ya mziki usikike buana

confidence_gal
Katika ubora wake nakupendaga chila

Kama Jana ulimis Video Hiyo Basi Nakuwekea Hapa Chini Tena:



Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad