WAKENYA Wapagawa na Mwigizaji Rihama Ally..Wampa Kitita Kinono cha Pesa Kucheza Filamu na Tamthilia Nchini Humo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rihama Ally na Mwigizaji Mwenzake
Msanii mahiri wa filamu nchini Riyama ally amesaini mkataba mkubwa wa kucheza filamu nchini Kenya...kampuni maarufu na wasambazi wa filamu nchini Kenya wamefanya mazungumzo nae mji wa Mombasa na tayari ameshaanza kufanya kazi huku akipewa kitita kinono kwa kushirikiana nao.

Kama hiyo haitoshi wadau wengine wa filamu nchini Kenya wametangaza dau kubwa zaidi ili aweze kucheza tamthilia zinazorushwa kwenye Televisheni mbali mbali nchini humo.

Hii itakua ni habari njema kwa watanzania sasa wasanii wetu tutaweza kuwaona nchi nyingine pia wataweza kuwania tuzo mbali mbali za wasanii kutoja Afrika. Kila la heri Rihama Ally

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni haki yake kupata dili kama hizi maana anajitambua, anajua hiyo ni kazi, sio kama wengine wanaoauza suara tu na kutuonyesha mapaja na matiti yao. Big up Riyama

    ReplyDelete
  2. Ni haki yake kupata dili kama hizi maana anajitambua, anajua hiyo ni kazi, sio kama wengine wanaoauza sura tu na kutuonyesha mapaja na matiti yao. Big up Riyama

    ReplyDelete

Top Post Ad