Ray C Awafungukia Mastaa Wanaomponda Shoga Aliyejibadilisha na Kuwa Mwanamke Caitlyn (Bruce Jenner)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya hivi karibuni, staa na mwanamuziki mkongwe nchini, Ray C, kupitia ukurasa wake wa instagram, kupost picha ya baba mlezi wa mwanamitindo maarufu Kim Kardashian, Bruce Jenner (Caitlyn ), ambaye amejibadil jinsia yake na kuwa mwanamke. Staa huyo alianza kumsifia shoga huyo kuwa ni mzuri kuliko ata mke wake, kauli iliyozua utata kwa baadhi ya mastaa na mashabiki wake, wakimlaani staa huyo aliyejinadi kuokoka ivi karibuni kusapoti ushoga wakati anajua ni dhambi.

Ata hivyo staa huyo amewajia juu baadhi ya mashabiki zake na mastaa wenzie na kuwataka kuacha unafki wakati ata apa bongo kuna mashoga ambao ni marafiki wa mastaa wengi apa nchini, msikie Ray C..

"Wabongo bwana!!!! Mnajifanya mnamponda Huyu wakati mashoga mnaishi nao mitaani,tena mnawalipa kabisa waje wasasambue kwenye vibao kata!tena haohao mashoga ndio wanaowataftia mabwana!mashoga ndio makuwadi wakubwa wa Dada zetu mitaani tena kuwapa maxi zaidi mashoga ndio marafiki wakubwa wa mastaa hapa mjini!

Mastaa kibao wanazunguka na mashoga kwenye kumbi za starehe bila hata aibu!humuhumu insta kuna mashoga kibao na wanajulikana na mnawafollow na kuwasifia Niwataje?

Afu mnajifanya mnamponda huyo chakla hapo juu wakati lango la jiji wamejaa tele kwenye taarab ndo usisema!acheni fitna!kama mnapinga hili jambo anzeni kuwapinga wa nyumbani kwanza sio mnamponda MTU aliekuwa dunia nyingine !!!".

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu demu mjinga sana sikutegemea anaweza ongea pumba hizo hasa hasa Za kumsifia shoga,next huna cha kuandika just shut up

    ReplyDelete
  2. unga hautoki haraka kichwani. itachukua miaka 10. ndo awe mzimaaaaa, kama kweli kaacha.

    ReplyDelete
  3. Sikutegemea kama Ray C angeweza kuongea pumba kiasi hiki. Kweli unga hautoki haraka kichwani ovyoooooooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad