ACT-Wazalendo Kuvuna Wabunge Kutoka CCM na CHADEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya vumbi la uchaguzi mkuu kuanza kumtika tumeona kura za maoni zinazoendelea kupigwa kutoka Chadema na CCM kwenye kila jimbo.

Chadema wanachagua wagombea ili baadae watakapokubaliana na wenzao CUF, NCCR Mageuzi, NLD, itabidi baadhi ya Majimbo wapewe vyama hivyo ambavyo vipo kwenye umoja huo UKAWA.

Na hapo ndiyo utazuka mgogoro mkubwa wa baadhi ya wagombea ambao majimbo yao watapewa UKAWA, hapo ndipo ACT-Wazalendo watakapojipatia wagombea wanaokubalika na kuwasimamisha kama wagombea wa ACT-Wazalendo.

Vile wagombea wa CCM ambao watakatwa pia kuna uwezekano mkubwa wakakimbilia ACT-Wazalendo.

Hapo ndiyo kauli ya Zitto kuwa wagombea hamsini watahamia ACT-Wazalendo itatimia.

Huu ndiyo ukweli ingawa unauma kuusoma hii hali kwenye siasa uwa inatumika sana.

Wale wote waliofanyiwa fitna watatumia mbinu hii ambayo imewahi kutumiwa na Dr.W.Slaa wakati yupo CCM kabla ya kutimkia Chadema na kushinda ubunge.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zitto piga kazi tuko pamoja ughaibuni. Kazi zako zinajulikana kwa waTanzania hata dunia. Wacha hao wanaokubeza kisiasa kwa kuwa hawajafanya kazi Kama yako. Wanadhani watakuwa maarufu wakikubeza jukwani. Siasa zetu Ni za kinafiki Sana. Tena chadema wanaongoza. Lowassa fisadi Leo eti tunamtaka. Zito msaliti. Tuone Na tujifunze kauli za viongozi WA chadema. Cuf mashoga Leo wako nao. Cuf ccm B. Mungu atalipa.tujifunze Na kutafakari kauli za viongozi WA chadema Ili tunapofcikiria kuwachagua tujue tunachagua watu wenye ndimi mbili. Ni rahisi hata kukuruka kwenye maslahi Yao. Big up zito kabwe tuko pamoja. +917356059308

    ReplyDelete

Top Post Ad