Breaking News : LOWASSA Kwa Mdomo wake Atangaza Kuamia Chama cha Chadema...Adai CCM Sio Mama Wala Baba Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati Huu Lowassa yupo Hewani ITV akiongea na Kusema CCM sio Baba Yake wala Mama Yake na Amehamia Chadema Kwani nia yake ya Kugombea Urais ipo paleplae Japo jina lake lilikatwa CCM, Adai Safari yake ya Matumaini Bado inaendelea....


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwendraaa, wameondoka wangapi bana na CCM bado inadunda........MAGUFULI woyeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  2. HIYO SAFARI YAKE YA MATUMAINI NDIO IMESHAFIKA MWISHO, ATUE MIZIGO APUMZIKE...........

    ReplyDelete
  3. Haya haya baba tunasubiri safari ya matumaini..

    ReplyDelete
  4. Tambaaaa bana..... Ndo mwisho wa safari yako ya kuendeleza wiz..... Izo hela Za tm lowasa ndo znakuchanganya ukose hekima.... Umekwenda na maji kwisha Habari yako....

    ReplyDelete
  5. tunahitaji mabdiliko kutoka chama kingine sasa

    ReplyDelete
  6. Hili ndio Jembe la uhakika sio la kichina

    ReplyDelete

Top Post Ad