LOWASSA Adai Anachukia Sana Umaskini...Ndio Maana Marafiki zake ni Matajiri.....Ataka Watanzania Wote wawe Matajari Kama Kina Mengi na Bakhresa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati akitangaza Kujiunga na Chama cha Chedema leo hii mmoja wa waandishi ameuliza swali kwanini yupo karibu sana na matajiri ..Lowassa amejibu swali hilo kwa kusema kuwa anachukia sana umaskini ndio maana yupo karibu nao na nia yake ni kufanya watanzania wote wawe matajiri kama kina Mengi na Bhakresa......

Toa Maoni yako.....
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yani ndooooooo umepotea kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa polesaaaaaaaaa maana nasafari yako yamatumaini itaisha octoba hauta amini pole sana Lowassa nakuhurumia watu wachache wanakudanganya wanakula hela zako bure

    ReplyDelete
  2. labda utuuze na sisi wa Tanzania ila huwezi kushindana na Mungu ukiwa mbishi atajua mwenyewe cha kufanya

    ReplyDelete
  3. Lowasa mungu akikutapika kakutapika umepotea huko Sasa utazikwa Bila Sanda. Laana

    ReplyDelete
  4. Kama anataka wtz wote wawe matajiri kwanini hakuonesha mfano huo alipokuwa waziri mkuu? Iweje sasa ndio unataka hivyo. buy the ways kwa mtazamo wangu Urais utausikia tu. kwasababu ccm sio wajinga watafanya juu chini hutofanikiwa tu.

    ReplyDelete
  5. All you anonymous above are nothing but losers. You don't know shit maskini wakubwa nyie.

    ReplyDelete
  6. Kajambe huko tajili ungeangaika angaika si ungetulia tu na familia yako

    ReplyDelete
  7. Kubwa jinga ngoja uchunwe hadi ubaki na ngozi alafu ndio akili itakaa sawa

    ReplyDelete
  8. Nilikuwa na wasiwasi but now nimeelewa, kwa kweli jamaa ana tatizo la akili, mirembe inamhusu, he! Watanzania wote tuwe matajiri? Si bure, apimwe akili jamani

    ReplyDelete
    Replies

    1. Kula 5.Yaani ni ahadi za kitoto kabisaaaaaaaaaa mdau.
      Kweli jamaa ana uchu wa madaraka,na si vinginevyo.

      Delete
    2. Wote hapo juu ni wasenge kwasababu mnapenda umaskini tunatakiwa tuwe matajiri kwani hao akina mengi na bakhressa wameushiwa na malaika?

      Delete

Top Post Ad