AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Basil Mramba,na aliyekuwa Waziri wa zamani wa Nishati na Madini,Daniel Yona baada ya kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7.Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.
Chanzo:ITV
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
WAMEONEWA WAZI KABISA... HAKI HAUKUTENDEKA KABISA
ReplyDeletehasara ya bilioni 11 halafu miaka mitatu ,mbona midogo sana wangefungwa hata miaka 100 hao
ReplyDeleteSIJUI SISI WADANGANYIKA LINI KITAELEWEKA, WALE WANAOTUMIA MADARAKA VIBAYA, NASI TUNAONA, LIKIJA LA UKWELI WAMEONEWA, ETI LABDA FURANI KAACHWAA, LAKINI FURANI FAGIO LIMEMPITIA, NDIO MAANA KILA ANAEINGIA MADARAKANI NI MTINDO HUO HUO WA KUARIBU WIZI WA MALI ZA UMMA, HILI LIWE FUNDISHO HATA KWA WENGINE,
ReplyDelete