AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungimza na Tanuru la Filamu , Davina alisema kwamba alipata wakati mgumu wakati wakuigiza filamu ya SHANTA inayotarajiwa kuingia sokoni wiki hii ambayo alicheza kama mke wa mtu ambaye alichepiuka na mwanaume na wakati anatoka gesti akafumaniwa na mumewe.
“ Kweli wakati mwingine mawazo kama haya huwa yanakuja unaposikiliza stori za wanawake wachepukaji lakini huwa nafikiri nifanye hivyo kwa kukosa nini kwa mume wangu? Kutokana na msimamo huo nilipata tabu kuigiza filamu ya SHANTA ambapo niliigiza kama nimemsaliti mume wangu na kweli kwenye filamu hiyo nilifumaniwa , inakera sana wanandoa kusalitiana,” alisema staa huyo.
Davina alisema filamu hoyo itasambazwa na kampuni ya 5 Effects Movies Ltd na anaamini itawafundisha watu wengi ambao wamekuwa wakishindwa kutulia kwenye ndoa zao ambapo mwisho wa siku huambulia kuambukizana magonjwa
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tupelekee umalaya wako mbele watu wanawaza maendeleo wewe unawaza kuchepuka ovyoooo
ReplyDeleteKumbuka kuwa muonja asali haonji mara moja na ndondondo si chururu au haba na haba ujaza kibaba
ReplyDelete