AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
ya kawaida sana.
ReplyDeleteComment ya Julay 3 saa 5:51, 5:52,5:53,5:54,5:55 zoote unarudia wewe tu kuonyesha watu tofauti. watanzania acha chuki hamsikii?
Deletembona video zake zinafanana? kama si magari ya fahari kwenye bot, ingekuwa Kiba mngesema!
ReplyDeleteHAINA MVUTO WOWOTE BITS NDO ZILE ZILE KILA NYIMBO.
ReplyDeleteKusafiri koote na magrop, nyimbo ndo hiyo? haishui kabisaa
ReplyDeleteubora gari wa ku act kwenye ndege na boat.
ReplyDeletenyimbo zoote ni zamapenzi na vidio ndo zilezile, hamna cha maana, labda kubadilisha wanawake.
ReplyDeletehaijanivutia kabisaaa, iko sawa na zilopita.
ReplyDeletefassion ndo ileile kila nyimbo. ops! kakaa juu ya gorofa safari hii
ReplyDeleteReally? How much umetengeneza hiyo video? Is nothing there, only the show off? Ndio kukimbilia kutoa video haraka haraka na haha ndio result yake
ReplyDeleteMBONA WEWE ULIYETOA COMMENT HAPO JUU NI HUYO HUYO? UNAMCHUKIA NINI? UEANDIKA ZOTE WEWE MUDA NA DAKIKA ZOTE ZINAONYESHA NA HATA SIKU, ACHA CHUKI WEWE
ReplyDeletehivi jamani mmsikiliza hiyo bit, na ule wimbo wa Divido Aye. Duuuu copy cat davido bit.
ReplyDeleteSuper!!!! yaan ni nzuuuri sana tena sana. Hongera Diamond ka kupeperusha bendera yetu ya Tanzania vyema.
ReplyDeletebravo DIAMOND uko juuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDelete