Hivi Kwanini Baadhi ya Wanawake Wanajichubua Wawe Kama Wazungu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna jambo linanishangaza sana, ni hivi kwanini wanawake wa kibongo wanapenda kujichubua ngozi na kutumia mikorogo,makalorite, hili wawe weupe na wafanane na wazungu.

Lakini sijawahi kumuona mwanamke wa mzungu akijichubua eti awe mweusi kama msichana wa Kiafrika.

Hivi kuna shida gani hapa wakuu?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Swali zuri. Nakushauri uwasiliane na aliewahi kuwa mgombea ubunge alie score kura 90 Singida. Ana majibu yote.

    ReplyDelete
  2. ni UJINGA UJINGA tu

    ReplyDelete
  3. Waafrica tuache ujinga. Tunajiua cc wenyewe kwa matumizi ya madawa ya ajabu. Mm niko huku nchi za Asia. Nina mwaka cjaona akidada wakijiremba au kuharibu ngozi zao za asili.wala kuvaa nguo za ajabu. Ni wale Tu ambao wanavaa kwa kazi maalum lkn co mavazi ya maisha yake. Hawa Ni wanamuziki Na waigizaji. Hata hvyo Ni sehemu ya mavazi ya tamaduni zao. PIA Kuna vjana wa kiume wengi cjaona wakivaa katakey. Nashangaa kuona utu wa mwafrika unadhalilishwa Na cc wenyewe. Misri wamemfunga dada lkn ukiangalia mavazi yake bado kajisitiri Sana Tu. Kuliko. Faiza, shilole, Na wengineo. Plse ngozi nyeusi Ni nzr zaidi kuliko ngozi nyeupe. Mm ninamiaka 35. Huku hawaamini wananiona Nina miaka kama24. Wanauliza lifespan yetu Ni miaka mingapi. Ngozi nyeupe Miaka 20 tayari Mzee. Tuache ulimbuken kwanza mavuzi bado meusi mnahangaika Na reception Tu. Itaishia kupelekwa guest Tu. +917356059308

    ReplyDelete
  4. Wanaume wengu wanachanganyikiwa na wanawake weupe ndio sababu

    ReplyDelete

Top Post Ad