Msaada: Ninafika Kileleni Ndani ya Dakika 1....Nashindwa Kumridhisha Msichana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakuu poleni na majukumu!

Sina tatizo la uume kusimama (erection) kwani unasimama tena ngangari kweli kweli!

Tatizo langu ni kuwahi kufika kileleni yaani ndani ya dakika 1 na nusu tayari kwisha habari yangu baada ya dakika kama 10.

Unasimama tena lakini ndani ya dakika kama hizo tayari nimemwaga huku nikimwacha mke wangu anaugulia.

Je wataalamu nitumia mizizi ama dawa gani ili kunusuru ndoa yangu?

Natanguliza shukrani kwenu wataalamu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fanya masturbation two or three times before sex. Iliupunguze. Mke wako nikimpata hatarudi tena kwako. I can sex one hour before ejaculation.

    ReplyDelete
  2. Mmh punyeto unapiga sana punguza

    ReplyDelete
  3. Labda umwagizie utume zucchini au karroti; ukikosa niko hapa mimi naahidi kukusaidia

    ReplyDelete
  4. ishu ndogo tu iyo,achana na bao la mkono
    tumia ogan usika

    ReplyDelete

Top Post Ad