Ray C : Naomba kuwatangazia kuwa natafuta mchumba wa kuishi naye milele! Atoa vigezo 10 vya mume amtakaye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefungua mlango kwa mwanaume yoyote anayetaka kumuoa ajitokeze ilimradi awe na vigezo 10 ambavyo ameviainisha.


Kupitia ukurasa wake wa instagram Ray C ameandika:

“Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!!

Ila naomba niwambie kabisa masharti

1.Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze
2.Awe anapenda muvi za kihindi ili nikiwa na stress aniwekee nyimbo za kihindi maana ndio raha ya moyo wangu.
3.Asiwe muongeaji sana sababu huwa sipendi makelele.
4 Anipende na ubonge wangu huu asije akaanza kunambia baby anza mazoezi au dah baby zamani ulikuwa bomba au rudisha kiuno hapo hatutaelewana.
5.Awe ananipikia nikichoka maana navutiwa nikimuona mwanaume anapika.
6.Awe na Mimi muda wote maana na wivu sana ikiwezekana tufanye kazi ofisi moja au awe ofisi ijengwe hapo hapo nyumbani.
7.Awe mvumilivu maana nikiwa na hasira huwa naongea kwa sauti ya juu sana.
8.Asiwe na rafiki wengi,na akitaka kuonana nae na mi niwepo maana si mnajua wanaume tena wakikutana huwa wanashaurina mabaya.
9.Awe anajua nyimbo zangu zote ndio ntaamini kweli ananipenda.
10.Sharti la mwisho kabisa ambalo ni muhimu sana kwangu ni hili tuwe tunatumia simu moja na Namba moja, maana kanisani tunafundishwa kuwa ndoa maana yake tumeungana na kuwa kitu kimoja kwahiyo kama mume na mke tunalala pamoja kitanda kimoja na kuishi pamoja kwanini tusitumie simu moja!Sioni tatizo!

Kama una ndugu,jamaa.kaka,rafiki yuko single basi mjulishe tangazo hili huezi jua unaeza ukashangaa nimekuwa shemeji yako au wifi yako”.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kiyama labda

    ReplyDelete
  2. mwananyamala dawa zimeisha? au...

    ReplyDelete
  3. UTAMPATA WAPI WA KUKUFANYA UTAKAVYO, WANGEOLEWA WENGI.

    ReplyDelete
  4. awe anatumia dawa za kuacha kuvuta unga.

    ReplyDelete
  5. umeishiwa Rc, tafuta kazi ufanye wacha ndoto za alinacha.

    ReplyDelete
  6. Unbelievable dream

    ReplyDelete
  7. Unbelievable dream anyway kila mtu anayohaki ya ku dream so ride on dreaming babe

    ReplyDelete
  8. Jamani msifanye masihara hayo, mwenzenu anatafuta mchumba na vigezo ndio hivyo hayaaa hayaaaa yena mashemeji na mawifi kazi kwenu

    ReplyDelete
  9. ANAOTA NDOTO ZA MCHANA WA SAA SABA NA NUSU.

    ReplyDelete
  10. Na yeye mwanaume sharti lake la kwanza ni kwamba akuonje akusikie kama mashine hako inaita au imejaa maji? Na ajue kama ule ufundi wa majukwaani hadi room pia ni hivyo? Bila ya kutest hivi vigezo...humpati mtu ng'o!

    ReplyDelete
  11. samahani dada yangu kwa vigezo hivyo labda kaka yako ndo atakufaa kuwa nawe,samahani lakini.

    ReplyDelete
  12. Ray C Ray C Ray C......... yaani wewe ndiyo wa kuweka masharti? acha uwekewe wewe masharti
    1. uwe hujawahi kubwia 2. uwe hutumii dawa za kupunguza makali ya unga

    ReplyDelete
  13. Hayo ndio matokeo yake ulidhani hiyo nick name ya "KIUNO BILA MFUPA"itakuwa 4rever nini?Ua linapochanyua kila aina ya wadudu hulifuata fuata kwa ajili uzuri harufu yake na yale yake mazuri na matumu kwenda kutengenezea asali baadaye ua hilo hilo husinyaa na demu naye yuko hivyo hivyo kama ua nakushauri RC jaribu kutafuta basha ktk hao wanaotumia hiyo dawa kama wewe nafikiri mtaendana shauri wote tayari mna experience ya hiyo kitu yenu mmoja wenu akishikwa na alosto mnajua jinsi ya kubembelezana nionavyo mimi sorry kama nitakuwa nimekukwaza

    ReplyDelete
  14. Kwani Ruge hakutaki tena, si umwambie akuoe au ndiyo Zama kamteka kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad