Wema: Nachukizwa na ‘Artwork’ Ambazo Sina Taarifa Nazo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nachukizwa sana pale napoona mtu kaenda kutengeneza Artwork ambayo mimi binafsi sina taarifa nayo... Nimeona Artwork yenye picha yangu niliovaa bazee la njano ikisema Wema Sepetu Vyiti maalum 2015 -2020... Kwanza kakosea neno Viti maana sio Vyiti... Naomba aliopost hio artwork aitoe kwa heshima na taadhima... Pale zitakapokuwa tayari za kwangu basi nadhani mtaanza kuiona kupitia ukurasa wangu ambao ni huu hapa... Ile picha kwanza ni picha ya zamani sana na pale ambapo wameweka rangi ya Green palikuwa Royal Blue... Watanzania muda utakapofika basi naamini nitatoa posters zenye kueleweka na sio hizi zinazosambazwa... Ahsanteni sana...

Wema Sepetu on Instagram
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna asojua kama Wema malaya. Hahaha Dodoma wakae mkao wa kula. Maana malaya aliekubuhu anaelekea kwao. Kishachemka katika ''kucheza michezo ya kuigiza'' sasa anahamia siasani. Poleni sana wasingida endapo mtakubali kushawishiwa na malaya alieshindikana pande zote. Mnajua kama kawahi kutiwa hatiani na mahakama mbili tatu za Dar?? Ndio mbunge wenu huyo? Na sauti yake ya nyege nyege ndio atawawakilisha nyie??

    ReplyDelete

Top Post Ad