UNCONFIRMED: Lowasa Kuondoka na Kundi Lake na Kugombea Uraisi Kupitia ACT

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari katika kambi ya Lowasa wakishirikiana na Zitto wanamshawishi ndugu Edward Lowasa kuhamia ACT na kundi lake na kugombea urais kupitia chama hicho.

wanaamini kuwa anawafuasi wengi na akikosa mwaka huu hatopata nafasi nyingine tena maiashani mwake kwa ushawishi alionao ndani ya jamii

More updates will follow
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tuko pamojaaaaaaaaaa anakoenda tunaeee

    ReplyDelete
  2. Asifany kos eti kaondok Ccm kaingia Act na nyiny waandish mna paka mafut laaaa noma sana hapo atakua amejimaliz mwenyew na mtu wahiv hastahil kua rais wa inch kwan han chochot chakusaidia raia wak. Isipokuwa kujinufahisha pekeyak. Mukimpa inch bas mujue kwamba mumeuza inch yenu, kwa sabab hawez tetea inch wakati ule imevamiwa.

    ReplyDelete
  3. Huko atajimaliza

    ReplyDelete
  4. Kwanza alisema awezi hama ccm, sasa nini kinachotaka mpeleka huko mbona amekazania sana huko ikulu. Ana maskandari mengi mtu huyu, yeee akakae nyumbani na wajukuu zake hiko, kwanza ana ni mgonjwa parkinson akapumnzike tu home, mihela anayo kibao, nyamihela huyu kafanya ufisadi mpaka kutukomoa sisi tulio wengi, tumechoka na ufisadi na wizi,

    ReplyDelete
  5. Ushauri wa wengi ni kwamba, atulie kama walivyotulia waliokosa, atakosea na kujimaliza kisiasa atakapohama katika Chama kilichompatia umaarufu hadi kujiujulu. Wengi waliokosa walibakia kimya na kuheshimika hadi leo. Kwani madaraka lazima wewe tuu umri umeenda na bado serikali inakutunza. Kajitibie ili uweze kuishi na afya njema. Fedha unazo wewe EL bado unataka kutulazimisha ututawale? Kwenda kwa TB Joshua haikuwa isshu sana mbona umepigwa chini, pole Kaombewe Azania Front KKKT ili uwe na amani na faraja zitatoka Kanisani kwako unakosali.

    ReplyDelete

Top Post Ad