Aliyewahi Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha Ambaye Kwa Sasa ni Mwanachama wa CHADEMA Akamatwa na Jeshi la Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa waziri wa Mashauri ya Ndani ambae sasa ni mwanachama wa CHADEMA Mh Laurance Masha amekamatwa jioni ya leo na jeshi la polisi nchini.

Tukio la kukamatwa Masha limefuatia kukamatwa kwa wanachama 18 waliokuwa kwenye harakati za kawaida za uenezi wa chama chao katika kampeni ya kawaida ya nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu ambayo haizuiwi na sheria yoyote ile nchini.

Baada ya kukamatwa vijana hao na kufikishwa kituo cha Ostarbay, Mh Masha aliamua kwenda kufuatilia sababu za kukamatwa kwa wanaukombozi hao, ajabu alipofika tu nae akatiwa mbaroni.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii inaonyesha kabisa kwamba ccm wameshindwa hata kuuonyesha ulimwengu kwamba uchaguzi hapa Tanzania utakuwa wa HAKI na HURU. Wananchi, kuna HAJA ya kuonyesha ULIMWENGU kwamba tuna demokrasia wakati SI KWELI????? Nyie ccm - acheni mambo mnayoyafanya...mtaipeleka nchi yetu kubaya!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anony 12:30 AM kenge maji usituletee ufala nyinyi mamuluki basi mnataka kuigeuza nchi kichwa cha mwenda wazimu mlete uhuni msishughulikiwe kisa demokrasi tulizeni boli msiwe na mchecheto mnaanza fujo ili baadae msingizie mmeibiwa kura pigeni kampenni kistaarabu sio kuwavurugia watu kazi zao mnapita nyumba nyumba kuwapotezea wakati watu na dili zao za kutafuta maisha wakae wanasikiliza porojo zenu za uchaguzi

      Delete
    2. Mkopo kua jangwani hamkupoteza muda wa watu

      Delete
  2. Nyie polisi MNA nyege hii nchi mmeshaifanya ya baba zenu mnawakamata watu wamekosea nin kunguni nyie vibaraka Wa ccm

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wee kidoo ni huna lako la maana nakuona unavyo ropoka ropoka kama uliyetoroka milembe majuzi yaani nchi waachiwe wemdawazimu kama wewe kutuletea tafrani demokrasi usiitafisiri na kuitumia kuvunja amani kisa utekeleze matakwa yako unataka hata sheria zisifuatwe tusiwe washamba wa kusingizia demokrasi ikiwa mtaachiwa kwa kisingizio cha demokrasi vichaa kama wewe mko wengi mtatuvunjia amani kwa kuwaendekeza tumia haki yako ya demokrasi kwa akili na utulivu utapata haki yako usiilazimishe watu wengine wakubali ushenzi wako kwa nguvu

      Delete
  3. Police msitumiwe na uongozi uliopo madarakani kwa maslahi yenu. angalieni maslahi ya nchi kwa mapana jamani!!

    ReplyDelete
  4. Waandishi andikeni ukweli,kalete maneno ya shombo ndio maana kaswekwa ndani.

    ReplyDelete
  5. Hiyo moja kwa moja ni amri ya Kikwete polisi wanatumika vibaya na kwa kuwa ni amri toka juu na kwa kuwa hawaruhusiwi kuhoji wanatekeleza amri.Kwa aiina hii ya matumizi machafu ya dola tunataka tuwahakikishie kwamba baada ya kuchukua Dola kwa uchaguzi halali wa kidemokrasia wale wote tunarudia wale wooote washiriki wa unyanyasaji watachukuliwa Hatua za kisheria

    ReplyDelete
    Replies
    1. kikwete alikuwepo wakati analeta ujinga wake? acha ufala wako

      Delete
    2. Yaani atoe matusi ya nguoni ktk kituo cha polisi wampotezee kwa sababu kahamia chadema.......... huyo jela miezi 6 inamhusu, akitoka na uchaguzi umekwisha........halafu ataamua aendelee kukaa CCM academia au atarudi CCM original....

      Delete
  6. Police brutality is nothing but abusing human rights and you know what the world is watching you. Mangu onyeeshia ushupavu wako ujiuzulu!! You will do the people of tanzania a great favor my friend

    ReplyDelete
  7. hawa polisi ni madikteta na ndio majambazi wa demokrasia wasiopenda maendeleo ya nchi lakini wakae wakijua tukichukua nchi yetu hawa polisi na hawa mafisadi wezi wa taifa letu tutahakikisha mmoja baada ya mwingine wanasimama kizimbani kujibu mashtaka yote ,na watake wasitake safari hii ccm inatoka kwa kura ya mtanzania na wasisahau dunia yote inawaona.

    ReplyDelete
  8. hawa polisi ni madikteta na ndio majambazi wa demokrasia wasiopenda maendeleo ya nchi lakini wakae wakijua tukichukua nchi yetu hawa polisi na hawa mafisadi wezi wa taifa letu tutahakikisha mmoja baada ya mwingine wanasimama kizimbani kujibu mashtaka yote ,na watake wasitake safari hii ccm inatoka kwa kura ya mtanzania na wasisahau dunia yote inawaona.

    ReplyDelete
  9. hawa polisi ni madikteta na ndio majambazi wa demokrasia wasiopenda maendeleo ya nchi lakini wakae wakijua tukichukua nchi yetu hawa polisi na hawa mafisadi wezi wa taifa letu tutahakikisha mmoja baada ya mwingine wanasimama kizimbani kujibu mashtaka yote ,na watake wasitake safari hii ccm inatoka kwa kura ya mtanzania na wasisahau dunia yote inawaona.

    ReplyDelete
  10. Mlimwacha fisadi akatafuna nchi leo mnamkumbatia polisi wanafanya kazi yao imekuwa kosa baadae ya kitokea machafuko mtalaumu polisi walikuwa wapi mpaka hali imekuwa mbaya wacheni ujinga

    ReplyDelete
  11. Kahamia UKAWA ameshakua mvunja sheria tena da!!

    ReplyDelete
  12. na watahukumiwa na MAHAKAMA YA KISHERIA. MFUMO UNAOJULIKANA WENYE KULENGA KUSTAHIMILI UTU WA MTU! LAKINI SHERIA ITAWAHUKUMU HAWA!

    ReplyDelete
  13. Kweli mkambi lazima ccm itoke tuliichagua wenyewe tutaitoa wenyewe hatakama watanzania wachache wenye utindio Wa akili kama uyo hapo juu aliye nitaja hao ndio wale wapumbavu wanaona wenzao kuonewa nisawa ivi niulize nibora anae pita nyumba kwa nyumba kuongea na wananchi au yule anae tukana watanzania majukwaani na kuwatumia polisi vibaya kunyanyasawatu wanao taka demokrasia ya kweli mnajua ccm MNA ushenzi sana ambao hats chizi ana kabisa ifike mahali.mjue hii nchi ni yawatanzania wore na wore ni wenye Mali na wamiliki wakuu Wa ili taiga tukiamua kusiwe na serekali inawezekana mbona Libya na kwingine imewezekana sow msitujaribu kabisa kwa upumbavu wenu nakujidaimnataka amani iyo amani IPO kwenye mikundu yenu mmbwa nyie amani ya kupiga watu na kutukana watu hadharani anae vunja hapo amani ni nani na chanzo ni nani kama sio nyinyi ccm ivi na sis tukichukua hatua mkononi mnazani at a kifaranga cha kuku kitaishi kweli mistake kugeuza taiga kuwa ziwa la damu kwa ajili ya kunyanysa watu wasio kuwa na hatia washenzi nyie alafu wewe msenge sijakulazimisha uwe ukawa sijaja kukushika mkono au kulitaja hapa Nina lako upumbavu wako ndio ulio shikilia akili zako wewe na watumwa wenzako mnao ishabikia ccm

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kidoo kuandika upuuzi wako haikusaidii kitu unachonga sana hakuna anayejali upuuzi wako kama unaweza kampeni hata ya matako kwa matako unataka ufanikiwe omba kibarua cha kukampenia UKAWA ufikiri utumbo wako unawakilisha watanzania na bado wajifanya hata hesabu unaijua eti watanzania wachache kinyamkera usiye na haya sio kutujazia nzi na maneno yako ya shombo halafu bro kiswahili chako unaonekana kama cha mkimbizi usitake kutuharibia umekimbia vita kwenu unataka kutuletea ushenzi rudi uliko toka

      Delete
  14. Police BRUTALITY in Action In Tanzania! Tutawaomba watu wa CNN; FOX news na wengine wengi kama BBC waweze kucover hizi stories zinazotokea TANZANIA. Kwa nini JUZI polisi hawakumshika MKAPA kwa kuwatukana WATANZANIA? Kweli, ONE day you will be out of POWER either through the ballot box OR by other means! We have seen it happening elsewhere. Do abuse the powers on the pretext of PEACE & TRANQUILITY! Lol! You ccm PEOPLE. Hii nchi si YENU peke YENU JAMANI!

    On a side NOTE: sasa kwa nini polisi kipindi CHA KIKWETE ALIPOKWENDA KUANGALIA WAUZA MBOGA MBOGA HAWAKUMZUIA? kama walivyofanya LEO kwa mheshimiwa LOWASSA? Kwani kikwete alipowatembelea watu si aliyaona matatizo ya wananchi? Alifanya nini? Na wenzake waliomtawngulia walifanya nini. Kama si kuwapiga na kuwabia watu hao mali zao? Na walipoyajua hayo matatizo wamefanya NINI MIAKA 60 NA USHEEE

    ReplyDelete
  15. POLE SANA YANA MWISHO BADO KITAMBO ITAKWAWA HISTORIA

    ReplyDelete
  16. mwisho wa siku mtatoka madarakani, halafu huenda mkakimbilia PORINI! Angalieni yanayotokea kwa WENZETU majirani na hata sehemu zingine za dunia hii! Yetu ni macho tu! Eti tanzania kuna amani, AMANI ya kulazimishana? Amani ya wewe UMESHIBA mimi nalala na njaa! Amani ya wewe una mahali pa zuri pa kulala, na jenereta na walinzi; mimi sina hivyo vyote? Amani ya kula kodi zetu; mimi nakula harufu ya mboga unayopikiwa na mkeo! Ee Mungu usituletee ya BURUNDI, lakini ikibidi PEOPLE's power ITUMIKE, Basi ITUMIKE tu. Hata kama wakiamua KUTUPIGA, basi, hawatashindana na NGUVU YA UMMA

    ReplyDelete

Top Post Ad