Sikupenda Kuona Nuh Mziwanda Akimtongoza Bosi Wangu Wema – Mirror

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Endless Fame Films, Mirror amesema alimrekodi Nuh Mziwanda wakati akimtongoza bosi wake Wema Sepetu sababu hakupendezwa na kitendo hicho alichokiona kama ni utovu wa nidhamu.

Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Mirror alisema hawezi kufurahi kumuona ‘dogo’ tu akimtongoza bosi wake.

Mimi sina matatizo na Nuh cha kwanza na sikurekodi kwa nia ya watu wasikilize,” alisema. “Kwa sababu hata tukiongea ukweli Nuh na madam ni vitu viwili tofauti, [Wema] ni boss, mkubwa hata kwangu. Mimi nilikuwa naangalia movies na sikurekodi kwa nia hata kama akija kusikia girlfriend wake ajue Nuh ndio alikuwa anamsumbua madam,” aliongeza.

Sijawahi kusikia mtu mwingine akimtongoza madam, siwezi kufurahi Nuh akimtongoza bosi wangu kwa sababu yeye ni dogo kama mimi, halafu yeye ana mwanamke wake pia.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe hungekua hunatoka mtaa wangu snitch, you will be eating cheese you know how it's snitch get stich, you know what time it is

    ReplyDelete
  2. Anonymous 2:45 tafuta mwalimu wa english.
    Na wewe Mirror mkome Nuh mbona CK alivyomtongoza huyo bosi malaya wako hatukukusoma hapa.?? kajambe kulee usituchafulie hali ya hewa hapa.mcxxxx

    ReplyDelete
  3. Anonymous 2:45 tafuta mwalimu wa english.
    Na wewe Mirror mkome Nuh mbona CK alivyomtongoza huyo bosi malaya wako hatukukusoma hapa.?? kajambe kulee usituchafulie hali ya hewa hapa.mcxxxx

    ReplyDelete
  4. wewe mwenyewe umemtongoza malaya wote tu wewe na huyo boss wako fala.Turekodie na hao wengine wanaomtongoza,unamuonea wivu akitongozwa mkeo huyo?sura imekomaa kwa mkorogo wa boss wako.

    ReplyDelete
  5. wewe mwenyewe umemtongoza malaya wote tu wewe na huyo boss wako fala.Turekodie na hao wengine wanaomtongoza,unamuonea wivu akitongozwa mkeo huyo?sura imekomaa kwa mkorogo wa boss wako.

    ReplyDelete
  6. wewe mwenyewe umemtongoza malaya wote tu wewe na huyo boss wako fala.Turekodie na hao wengine wanaomtongoza,unamuonea wivu akitongozwa mkeo huyo?sura imekomaa kwa mkorogo wa boss wako.

    ReplyDelete
  7. Hunasema nini wewe 7:07 kwani snitches don't get stitches au we call snitches Rat and Rat eat cheese

    ReplyDelete

Top Post Ad