Baada Sauti ya Mziwanda Akimtongoza Wema Sepetu Kuvuja, Shilole Kayaandika Haya mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shilole ambaye aliingia kwenye headlines baada ya boyfriend wake msanii Nuh Mziwanda kunaswa kwa sauti akimtongoza mwigizaji Wema Sepetu.

 Ilionekana kama baada ya kusambaa hadharani kwa sauti hiyo kungefanya mapenzi yao yayumbe au waachane lakini imekua tofauti na matarajio kwani Shilole alithibitisha kuendelea kwao pamoja kwa kupost hiyo picha hapo juu na kuandika ‘Mi siachani nawe na ntakupenda zaidi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Big up Shish Baby bwana wako akiwa kwako akitoka sio wako weraweraaa ganda la ndizi komaa nae na kileta ngebe zaba kibao utaacha wangapi nao baba yao mmoja na tabia zina fanana.

    ReplyDelete
  2. hajapata nafasi utakuja kulia kilio cha mbwa koko.
    umetendwaaa lakini akili kama za funza. ngojea mama ngojea.
    ila nakuombeeni kheri na mfanye yanayompendeza Mungu.

    huyo angekubaliwa na Wema alikuwa kwako harudi ng'oo baada ya kibao kugeuka ndo kajifanya mpoleee. HE IS USING YOU SHILOLE WAKE UP

    ReplyDelete

Top Post Ad