BREAKING: Dr. Slaa aibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema Mambo Mazito kuhusu Lowassa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 BREAKING: Dr. Slaa aibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema Mambo Mazito kuhusu Lowassa...Hapa Chini unaweza Kusoma Mambo yote aliyosema kuhusu Lowassa na Chadema...





BREAKING: Dr. Slaa aibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema Mambo Mazito kuhusu Lowassa

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tunaomba apate ulinzi ili afunguke ...............ili hili fisadi lituondokee

    ReplyDelete
  2. Tuwe makini sana na hawa wanasiasa wetu, sijui wanataka wawe na siasa za majukwaani tu bila kushika dola, mzee wangu Slaa ni nini unachohitaji?wote ni watu ambao hamueleweki..................pls kama umeamua kukaa pembeni kaa kimya sio kuanza kampeni chafu

    ReplyDelete
    Replies
    1. SIO SIASA CHAFU,NAIPENDA CHADEMA LAKINI NAMNA WALIVYOMPOKEA LOWASA INALETA MASWALI MENGI KWA WANAOJUA KATIBA YA CHAMA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

      Delete
  3. tunakokwenda, kila mtu akae mguu sawa!

    ReplyDelete
  4. Asante anon hapo juu hawa wazee wote ccm wanataka kutumaliza tu yeye mwenyewe akisimamishwa hana usafi wowote.,ccm washenzi sana wameona wamtumie mpk huyu babu ila ukweli nikwamba hata lowassa asipo simama hutuwachagui..tena slaa usiongelee rushwa maana umeshachukua hela,eti anaomba ulinzi toka lini chadema wakawa mamafia wewe upo upande wa wauaji majangili alf unaomba ulinzi hebu tutokee hapa

    ReplyDelete
  5. EWE MOLA WETU TUNAKUOMBA UENDELEE KUONEKANA NA KUUMBUA YALIYO MAOVU.TUNAAMINI UTATENDA,IBARIKI TANZANIA,BARIKI VIONGOZI WENYE NIA NJEMA NA TANZANIA.

    ReplyDelete
  6. Huyu jamaa atakua n mamluk wa upande wapli chadema alikua kimaclah sasa ameona mwisho wake wa kujpatia hela unafka anataka aanze siasa chafu mzeee pumzka kwa Aman uctuletee uchwara

    ReplyDelete
  7. Mtabisha sana hamkubali ukweli mpaka mtu atolewe roho hiyo ni kweli lazima ajiogopee usalama wake kwani Edo anafanya kila njia kumzimisha huyu mzee wetu Slaa ili asitoe siri akamvunjia riziki yake kwa kutufungua macho sisi walalahoi tulio lala hatusikii la iziraili mtoa roho wala mchota maji kwa kumshabikia fisadi.

    ReplyDelete
  8. Usikae kimya mzee slaa funguka.. Ucnyamaze tunakuamin na kukubal wanataka waje waendeleze ufisadi na kwetu.. Iyo haiwezekani.... Kikwete lowasa wote mafisad wakunuka na CCM Yao....

    ReplyDelete
  9. Silaa uko sahihi baba.

    ReplyDelete
  10. Tena mzee ukome mbona ulipoasi upadri hukuandika mtandaoni? Laana inakufuata wewe wewe mwenyewe ni dhambi tupu tena padri embu kakusanye hata sadaka tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Slaa hakuasi Upadri na ashapita ngazi ya Upadri,Slaa alikuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu,kijana unapoandika kitu do not jumping and bursting..ok???

      Delete
  11. Hata mimi kesho nitaongea kuhusu ubabaishaji uliotumiwa na mwenyekiti kumleta Lowasa,naomba tegeni masikio nitapasua kila kitu.Kama mbwai na iwe mbwai!

    ReplyDelete
  12. Kama umekaa pembeni acha kuchonga ngenga hapa ni kazi tuu

    ReplyDelete
  13. ac feke jamani,hii blog iwe makini na post zakeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  14. Huyu mzee asitake kutuchanganya watz kama hataki kuendelea na UKAWA akae kimya au na yeye asafiri kama mwenzie lipumba, aaaagh! atuache watz tudili na ccm wenyewe.

    ReplyDelete
  15. hhhaaaaaaaa acount FAKE FAKE

    FAKE CCM mtaisoma tarehe 22/ Dr slaa si wa ovyooo kiasi hich kupost ujinga badala ya kuclear na medias

    ReplyDelete
  16. Replies
    1. Kampeni ya Lowasa kuingia Ikulu akiwa na wapambe wake Karamagi na Rostam wamiliki wa TICTS inayoinyonya Tanzania mpaka inatembelea magoti, hivi tamaa ya fedha ya viongozi wa Chadema kuhongwa hela ili kumpisha huyo Lowasa ambaye hajawahi kuwa mpinzani katika nchi hii, hamuaminiki tena milele wanafiki.

      Delete

Top Post Ad