Haya ndio majibu ya Petit Man kwa Soudy Brown kuhusu tetesi ndoa yake na Esma kuvunjika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram kulikuwepo na uvumi kuwa ndoa ya dada wa Diamond, aitwaye Esma na Petit ipo kwenye ugomvi baina ya wawili hao.

Leo Soudy Brown kaamua kupiga Stori na Petit kutaka kujua ukweli wa taarifa hizo lakini mwenyewe hakuonesha utayari wa kuzungumzia undani wa ishu hiyo.

Ukibonyeza play hapa utamsikia Soudy na Petit Man ilivyokuwa kwenye U Heard.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona hiyo Ndoa yao imeanza kupumulia mashine looooonggg tym agoooooo!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndoa za maonyesho huwa hazidumu mdau.Tuwaombee!

      Delete
  2. salute kwa Petit alijiingiza pabsya familia yenye ubinafsi familia ya kiswahili sana sana

    ReplyDelete

Top Post Ad