Diamond Platnumz Noma Sana..Amdaka NEYO Nairobi na Kufanya Nae Collabo Moja Matata...Kiba Je ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huwa nawashangaa sana wanao semega eti Diamond ni freemanson wakati juhudi zake za kupita kiasi zinaonekana ..Unaambiwa Neyo amekuja kufanya Coke Studio na Kiba ila Diamond hapo hapo akachukua fursa bila kupoteza muda na kumburuza NEYO studio kutoa kitu kipya..ANGALIA PICHA HIZO USHAHIDI WAKIWA STUDIO NA SHEDDY CLEVER YULE PRODUCER WA NGOLOLO.. Hahah
Natumaini kiba na yeye atakamata fursa...ole wako urudi bongo bila collabo

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. D mchakalikiaji fulsa, k nyorinyori huo ndio utofaiti wao

    ReplyDelete
  2. Sio hirizi wala mizizi nikujituma mtu akifanikiwa mnaaza kusingizia uchawi huku mchana kutwa vijiweni kujadili siasa na ushabiki big up dai

    ReplyDelete
  3. Acha kupotosha D alikwishaonana na Ne-yo South Africa katika tuzo za MTV watakuwa walishaongea so wanakuja kutekeleza walichokubaliana

    ReplyDelete
  4. Cjui collaboration itakua ya dizaini gani hawaendani kabisa

    ReplyDelete
  5. Teeheee Teheeee kwikiiiiii,,,,,bongo rahaaaa,, sanaaaa na bila story za dai htuuuzi gaetiii maninaaaa,,,,,

    ReplyDelete

Top Post Ad