Wasanii Wazindua Kampeni Kuipigia Debe CCM na Tamasha la 'Mama Ongea na Mwanao'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WASANII ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameandaa Tamasha kubwa kuzunguka nchi nzima kwa pamoja na kukinadi chama hicho tawala pamoja na Sera zake ili kiweze kushinda Uchaguzi Mkuu onaotarajia kufanyika Oktoba Mwaka huu (2015).
 
Tamasha hilo litakalojulikana kama “MAMA ONGEA NA MWANAO 2015″ limeandaliwa na baadhi ya wasanii makada wa CCM wapatao 250 ambao watazunguka mikoa zaidi ya 10 kukipigia kampeni chama hicho tawala ili kiweze kupewa ridhaa tena na Wananchi ya kuendelea kuongoza nchi.
 
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari Mwenyekiti Msaidizi wa tamasha hilo, Wema Sepetu alisema madhumuni ya tamasha la Mama Ongea na Mwanao 2015 ni kulinda mazuri yote yalioasisiwa na CCM kupitia viongozi wake akiwemo Baba wa Taifa Mwalimu Julias Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
 
Msanii Sepetu akiyataja masuala hayo yalioasisiwa na CCM kupitia viongozi hao kuwa ni pamoja na amani na utulivu uliopo hadi sasa, maendeleo ya kijamii na kiuchumi yalioletwa hadi sasa, masuala ambayo yanastahili kuendelezwa na wala si kubezwa.
 
Tamasha hilo linajumuisha wasanii kama Odama, Davina, Wastara Juma, Keisha, Wellu Sengo (Matilda), Bi. Mwenda, Mama Lolaa, Mama Nyamayao, Herieth Chumila, Thea, Maya, Chuchu Hans, Steve Nyerere pamoja na wasanii wengine wengi.
 
Aidha alisema kupitia tamasha hilo wasanii hao pamoja na wenzao watazunguka katika mikoa zaidi ya 10 kwa pamoja kufanya kampeni kumnadi mgombea wa urais kupitia CCM, Dk. John Pombe Magufuli, mgombea Mwenza, Samia Hassan Suluhu pamoja na viongozi wengine ngazi mbalimbali wanazogombea kupitia chama cha Mapinduzi.
 
Madhumuni ya tamasha la Mama Ongea na Mwanao 2015 ni kulinda mazuri yote yalioasisiwa na CCM kupitia viongozi wake akiwemo Baba wa Taifa Mwalimu Julias Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume ambayo bila amani mama awezi kujifungua salama, Bila mama hakuna familia, amani inapotoweka mama hawezi kukimbia kilometa kadhaa na kuiacha familia yake, bila mama hakuna ujasiliamali, mama ni kimbilio la baba, kaka, dada na watoto…ikumbukwe kuwa mama ndio mpiga kura ndio maana tunasema mama ongea na mwanao,” alisema Wema Sepetu.
 
“Na leo hii kuanzia sasa tunatambulisha kampeni yetu tunayoifanya kuhamasisha vijana, kinamama, kinababa, mashabiki wetu wale wote wenye sifa za kupiga kura wapige kura kwa kumchagua kiongozi bora anayetoka Chama Cha Mapinduzi…chagua Dk. Magufuli, Samia Suluhu, wabunge na madiwani wa Chama Cha Mapinduzi,” alisema Sepetu.
 
Aidha wasanii hao wamempongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kuongoza vizuri vikao vyote vya chama hicho hadi kupatikana kwa mgombea bora wa urais kupitia chama hicho (Dk. Magufuli), hivyo kuwataka wanaCCM wote ambao waligombea na hawakupata nafasi kuungana na kukitumikia chama.
 
“…Mimi Wema Abraham Sepetu nikiwa na baadhi ya wasanii wenzangu ambao tuligombea tunasema muda bado tunao na siku tunazo kwa kukitumikia chama tukipewa ridhaa kwa njia yoyote na kwa nafasi yoyote ndio maana hatuja teteleka tupo imara kuwatumikia wananchi katika nafasi nyingine ndani ya CCM,” alisema Sepetu.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mratibu wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya tamasha hilo.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mratibu wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari  juu ya tamasha hilo.
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu (kulia) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda) na Yobnesh Yusuph (Batuli).
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu (kulia) akizungumza na wanahabari  jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda) na Yobnesh Yusuph (Batuli).
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere wakiwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari jana jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wasanii na makada wa CCM ambao watajumuika katika tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano na waandishi wa habari.

Mpekuzi blog
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SAWA TUNAUNGA MKONO OPERESHENI MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 AACHE UMALAYA SIO VIZURI WALA VEMA LEO MUME HUYU AMPANUE MAPAJA MARA KESHO MWANAUME HUYU AMGEUZE KINYUME CHA MAUMBILE INATIA AIBU TENA KUBWA KWA JAMII YA WATU WASTAARABU.BAHATI MBAYA MALAYA HAWA WANAFADHILIWA NA STRAUSS WA TANZANIA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Operesheni mama sema na mwanao ingekua bora kama figa eit( mama Wema) angeanza kuongea na mwanae. Kutwa anavulia chupi wanaume wa watu na kuvunja ndoa na mahusiano ya watu. Kaona Dai ka move on sasa anahamishia kisasi kwa Esma. Wema Janga la taifa. Ona mkorogo na stress vilivyomsehesha.

      Delete
  2. wana weweseka hawa, hawana lolote, watu wameshaaamka sasa hv, wanataka mabadiliko, kwanza wengi wenu hapo hamna mashiko kwenye jamii, sababu ya tabia zenu zisizokubalika kwenye jamii!! hovyoooo!

    ReplyDelete
  3. hawana kazi eti kioo cha jamii!! wakat jamii hyohyo ndio wanaodeside wapi wanafaa na wapi makapi ila ndio tumeyaona makapi leoooo!!

    ReplyDelete
  4. Hamuwezi tu kukurupuka kuifanyia kampeni CCM eti sisi ni wanachama wa kiukweli swali mmepewa kiasi gani maana sanaa zenu jina hazilipi au mmehaidiwa nini nyinyi akina "KIOO FAKE CHA JAMII"

    ReplyDelete
  5. nyie woote mliocoment siyo malaya? au kwasababu hamjulikani? toeni funza kwenye vichwa venu.

    ReplyDelete
  6. pigeni kampeni nyie msiekuwa malaya na mlokuwa wastaarabu tuwaone.

    ReplyDelete
  7. Waacheni watu waitendee haki zao kidemokrasi akiwa malaya au ana firwa inakuhusu nini
    ina maana sio binadamu hawana haki za kimsingi ana haki ya kumkampenia anae mtaka na wewe hakuna atakae kuzuia usimfanyie kampeni umtakae but do not judge people of what they do acheni ufala wenu mtu mambo yake yake binafsi hakuna wa kumuhukumu mnataka mabadiliko huku wenyewe hamjabadilika basi kimbelembele

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yes hinatuhusu nenda nchi za watu wenye hakili mtu kama huyo hawezi kutumiwa kisiasa kabisa 1 ni malaya mwenye PhD

      Delete
  8. Ni baada ya biashara ya kuuza nyapu kudoda sasa umegeukia siasa ,huwezi toka kwa kudandia.meli inayozama!

    ReplyDelete
  9. inatia aibu...very sad

    ReplyDelete
  10. Yaani hawa mburulaz watamshawishi nani labda mburulaz wenzao,kumbe jk alivyowaita ikulu ndongo dodoma ni kwa ajili ya hili?kweli raisi tunae,really?yaani hawa vilaza wanishawishi kuipigia kura ccm?pambavu!!

    ReplyDelete
  11. Na huyo mwingine na mbandeji usoni lazima atakuwa alifumaniwa,upuuzi mtu

    ReplyDelete
  12. Waendezao hatubadiki ng'o

    ReplyDelete
  13. kwanza habari za umalaya na kampeni inahusika nini we mwenyewe ni malaya vilevile au kisa hujulikani waache wafanye walicho ona bora kwao na kwa watanzania wewe usiye kua malaya umefanya nini kigeni acha mambo zako kila mtu na mapungufu yake

    ReplyDelete
  14. KAJIBU WEMA NA LEO HII AMEFUMANIWA.ALIITWA DODOMA AKALAZWA CHALI YAANI NI FEDHEHA MALAYA MALAYA KICHEFUCHEFU.HEBU JARIBUNI MKUMBANE NA NGUVU YA WATANZANIA ISIYO YA KAWAIDA.KIIILA SIKU KUVUA CHUPI KWA WANAUME WAPYA WA CCM,OVYOOOO.JARIBUNI

    ReplyDelete
  15. Mwenye funza kichwani ni wewe malaya wa CCM unalo hilo goneria na sio vizuri kuwasambazia Makatibu wa CCM wanaowaratibu.Muone sasa NAPE anakwenda kiubavuUbavu kama kagongwa na GUTA.Zinaa hiyo ya Wema na kundi lake la EXTREME PROSTITUTES

    ReplyDelete
  16. ANGALIENI NYINYI MALAYA WATANZANIA WANA HASIRA KUBWA NA CCM ANGALIENI NAPE NA MAKONDA WATAWAKIMBIA SIKU YA SIKU NYIE HAYA

    ReplyDelete
  17. Nyie mnaotukana ni maguragura hao mnaowatukana wangemkampenia Edo mngewasafisha na kuwalinda kuwatetea kuwa sio malaya kabisa wanasingiziwa kama vile mnavyomsafisha fisadi kawa safi na kwanza alikuwa ananuka ufisadi

    ReplyDelete
  18. Sawa twende polepole swali na jibu uwe mkweli Umuogope Muumba wako Ukidanganya Ewe Mwenyezi Mungu tunakuachia wewe Muumba Nakuuliza swali la kwanza Jee Wema sepetu Ni malaya mkubwa au siyo malaya mkubwa? Jibu hili inshallah tuendelee.

    ReplyDelete

Top Post Ad