Ee Mwenyezi Mungu, asante kwa Lowassa na Sumaye, sasa tunaomba utuletee Warioba!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya yanayotokea ni mpango wa Mungu kuibadili nchi hii. Hawa waheshimiwa Lowassa na Sumaye ni watu wakubwa sana katika taifa hili.Mungu amewaleta huku, nyuma yao kuna mamilioni ya watu, hakika watatuboost sana. Sasa namuomba Mungu atuletee na Mh. Warioba... Wote tuitikie.....'Twakuomba utusikie'.

By Mdau
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa siasa zimegeuka trick nani maarufu ajaze uwanja sio sera tena zitakazo leta mantiki ya mtu kukubalika achaguliwe yaani kazi nyepesi kabisa kwakuona watanzania bado tumelala haina haja ya kuambiwa vipi maisha yanaweza kurutubitubishwa na yakawa tofauti na serikali iliyopo basi tafuteni watu maarufu wahame na kukiponda chama walichotoka demokrasi badoooooooooooo na mabadiliko kwa staili hii baaaaaado kabisa

    ReplyDelete
  2. Sasa siasa zimegeuka trick nani maarufu ajaze uwanja sio sera tena zitakazo leta mantiki ya mtu kukubalika achaguliwe yaani kazi nyepesi kabisa kwakuona watanzania bado tumelala haina haja ya kuambiwa vipi maisha yanaweza kurutubishwa na yakawa tofauti na serikali iliyopo basi tafuteni watu maarufu wahame na kukiponda chama walichotoka demokrasi badoooooooooooo na mabadiliko kwa staili hii baaaaaado kabisa

    ReplyDelete
  3. be carefull wakati ukimuomba Mungu..kwan unaweza ukawa wajiombea vita badala ya amani....We sema Mwenyezi Mungu tupe kiongozi muadirifu..sio unachagua kisha unaomba..Kwa hapa Mungu ndo mwenye SIRI HII...kila uchaguzi hao viongizi huwa twawachagua sisi wenyewe kama hivi..matokeo yake wanakuwa wezi na wenye roho mbaya..mie kibinafsi Magufuri is my best choice...ni mtu safi kwa tabia..hana ubinafusi ni mchapa kazi..na yuko selikarini miaka mingi lakini huwezi kumsikia na vitabia vya ajabu kama wenzake...I hope huyu ndo zawadi ya kiongozi mwema tunaelilia....hata katika uchaguzi sikutegeme hata kama jina lake litatoka..masikini alijaribu tu bahati ikamuangaza...Watanzania amkeni...nchi akipewa Lowasa..itakuwa ni ya matajiri wenzake..jiulizeni tangu lini hao matajili wenzake wakakaa chini na nyie walala hoi kuzungumzia hali ngumu ya maisha na wakati pesa wanayo..na ni jasho letu..eti sasa ndo wanataka kubadirisha nchi HOW MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI..NA KAMA WANGEPITA KWA CCM WANGEONGEA NINI..ZINDUKENI NDUGU ZANGU..MWENYEZI MUNGU TUTANGULIE KWA HILI..HAKIKA TUKO NJIA PANDA..HATUJUI TWENDAKO

    ReplyDelete
  4. Zinduka wewe unae muona magofuli bora kwani ccm ilishakufanyia mini mpaka sasa tokea miaka 50 ya Uhuru hao wakinachenge wasira ana tibaijuka na wezi wenzao no masikini unaushahidi wapi walishakas na masikini nakula nao sahani moja wslivyo iba mabilioni ya pesa walishamfikiria nani kumpa ta elfu Mona tu hao so ndio chanzo cha matabaka Leo tajiri no tajiri masikini no masikini wawo kila kitu no pesa had I askari wanamilikiwa na ccm na sio na wananchi tens to a comment yemye madhiko.mpumbavu wewe na magofuli wako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi unazungumzia CCM A au B??

      Delete
  5. MZEE WARIOBA NAE MNAFIKI TU WAMEMZALILISHA LEO HII ANASIMAMA JUKWAANI,ANAFIRI MOTO WAKE KIPPY AKISHINDA UBUNGE ATAPEWA UWAZIRI

    ReplyDelete

Top Post Ad