One Man Army Lowassa VS Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Magufuli, Makongoro, Membe and BongoFleva.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Japo ni Makapi ya CCM ila Kwa sasa Hakika Lowassa ni Tishio kwa CCM, Tena Tishio Hasa kiasi cha kuwanyima usingizi Japo wanajikaza Kisabuni... Leo nimejaribu kusikiliza kwa Makini Ufunguzi wa CCM Jagwani ..Yaani nilichokipata ni Kuwa Wanajihami zaidi kutokana na uwepo wa Lowassa Ukawa...Hotuba za Marais waliopita zote zilikuwa zinamzunguka Lowassa, Namsifu Magufuli kwani yeye Hutuba yake angalau ilikuwa imejikita katika utendaji wa kazi.....
Ni kama One Man Army Lowassa VS Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Magufuli, Makongoro, Membe, BongoFleva na Wengine wengi Ndani yake.....

By J.Mdakuz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anae kosa usingizi ni mjinga kama wewe usitake kulete propoganda za kijinga wewe ni msenge usiye jitambua kwa kukosa uzalendo nchi hii si ya kikwete, mkapa, mwinyi , magufuli, membe na bongo fleva yakumaaninisha kuwa wao ndo wakuchagua sasa ulitaka wamsapoti fisadi hapo ungefurahi wewe unageuza maisha ya watanzania utani hujui nini maana ya haki yako unageuza huu uchaguzi ni kama simba na yanga wacha ushenzi usituletee habari wangapi wanapingana na mpinzani waachilie wao hukumu ya huyo unayemtetea iko kwenye sanduku la kura usituletee mambo ya kitoto

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kitendo cha kutukana tu kishapoteza mantiki yote ya uelewa wako. Umejishusha kwenye level ya huyo muandishi na kupitia watoa hoja kama nyinyi mnafanya CCM waonekana waoga hata kama si waoga. No disrespect intended.

      Delete
  2. Poleni sana, swala la ugonjwa sio hoja,hoja ni kwamba mtatufanyia nini kipya?kama miaka 50 umekwama,mbona mweyekiti amedondoka majuukwaani na bado yupo,unaweza ukaondaka wewe na mgonjwa, ukamuacha tuwe makini na kauli zetu

    ReplyDelete
  3. Huyo Huyo mgonjwa ndio anawanyima usingizi

    ReplyDelete
  4. MWISHO WA SHOBO ZOOOOTE NI 25/10/2015 LETS SEE

    ReplyDelete
  5. Ccm ni ukimwi....ccm ni ukimwi WA kuogopa. Sio chama cha ukombozi kama anavyosema mkapa. Vyama vyote vya ukombozi kanu, unip vimekufa. Africa I nataka UKOMBOZI MPYA TOKA KWA MAKABURU WEUSI. NYERERE alisema KABURU NI KABURU , mkapa, mwinyi kikwete nyie MMETUIBIA mali asilimia zetu, mmewaacha vitanda vya nyerere, leo iweje tu wape tena nchi yetu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mshenzi nafikiri wewe ndo mwenye ukimwi yaani unajipa asilimia 100 ya ujinga wako kwamba ukawa watachukuwa nchi? pumbavu zako huna lolote mburura mkubwa

      Delete
  6. MKAPA HALALI MWINYI HALALI KIKWETE MPAKA KWA VALIUM NA SASA ZINAMDHURU PENGINE SASA ANAONGEA ANACHOKIJUA YEYE.HAWA KWA PAMOJA NDIYO WALIOKATA JINA LA MPENDWA WETU MHESHIMIWA LOWASSA WANAJITETEA.UKITAKA UGUNDUE KUWA WAMECHANGANYIKIWA ANGALIA SURA ZAO PUA MENO NA NGOZI ZA SHINGO ZAO KIHORO KIHORO KITAWAONDOA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Katika maisha yao hawakufikiria kabisa kuwa jamaa angetokea upande wa bb pili sasa matusi yanatoka wapi? tukana kwa hoja na siyo matusi jangwani jmosi tutavunja record na ccm walijaa walienda kumshangaa Diamond na Ally Kiba

      Delete
  7. wewe unayejitapa kwamba si mgonjwa hebu tena unijibu hii message yangu kwamba magonjwa unayasikia tuu uko fit kama jiwe.nasema hivi inawezekana hata usimalize kuandika ukaanza kujisikia vibaya tumbo unataka kuharisha kwikwi.kizunguzungu,macho hayaoni vizuri kinena kinavuta mwanzo huo jamani mniwahishe hospitali na angalia ukaondokea njiani kabla hujafikishwa.SISI BINADAMU WOTE NI WAGONJWA JIICHUNGE NA NDIMI ZA LAANA

    ReplyDelete
  8. Kimsingi ukombozi unaotakiwa na ule wa fikra na ule wa kuwaondoa wanyonyaji weusi ambao tuliwaamini kuwa wangetuletea maendeleo lakini wapi na utumwa wa kifikra ambao ccm wanatupa ni mbaya kuliko wa kumtoa mkoloni kwani wanatuaminisha hii nchi maskini ilhali kuna rasilimali bwelele, wanawaaminisha wananchi ccm ikitoka vita itakuja ilhali huo ni uzushi na oungo kwa kuwa tunayo mifano hai ya vyama tawala kuondolewa madarakani na amani ikatarajali.

    ReplyDelete
  9. ondoeni ukaskazini wenu hapa, kwanza hamjielewi kabisa, hamna hoja kutwa kucha kusifia mafuriko, WATANZANIA WANATAKA MAENDELEO NA SIO KUIONG'OA TU CCM MADARAKANI, na hatuchagui mafuriko tunachagua mgombea anayetambua nini anafanya, mgombea anashindwa hata kujieleza japo MISTARI MIWILI tu anawahadaa mama ntilie eti atakua rafiki yao na masikini wote, WIZI MTUPU!! mjipange msimu ujao

    ReplyDelete
  10. maendeleo wizi we nyau je ni wewe uliyebeba lile gunia la Billion tano za Escrow akaunti toka benki ya Mkombozi kupeleka MSOGA? utakuja kutuambia wakati ukifika

    ReplyDelete
  11. WATANZANIA WANATAKA MAENDELEO UNASEMA SIO WATANZANIA WAMEPATA MAENDELEO.MIAKA 10 maisha bora kwa kila mtanzania yamegeuka kuwa MAISHA BORA TENA KUPINDUKIA KWA FAMILI YA KIKWETE

    ReplyDelete
  12. We msenge India umara wako hapa pia hii nchi mnaona niyakwenu peke yenu wstu wakadkazini sio rsia Wa Tanzania au mkundu wewe unafirwa kabisa had I piano nyie ndio wachochezi Wa ukabila Leo wachaga wakinyanyuka na wenzao nao waikatae serekali ya magofuli unazani utabaki kunguni wewe au mnataka kuvunja amani kwani raising akitoka kaskazini atakuvunja miguu na kuondoa pumzi yako acha ulembukeni nyoko firwa wewe

    ReplyDelete
  13. Na nchi itachukuliwa na raid toka kaskazini ikiwa no mtanzania na anayo haki ya kuwa kiongozi ikiwa siyo mtanzania na wakadkazini sio watanzania basi kaskszini itakuwa na raising wake na nyie wengine mtakuwa na raising wenu na msirushe miguu yenu moshi ama Arusha pumbu nyie mnao isakama kadkszini tumewakalia kimya sasa mnataka mtuvae hadi visikini fungal domo I'll kama huna hoja za kuleta hapa kazi ubaguzi tuhuwapendi amia ulaya kama unajeuri iyo

    ReplyDelete

Top Post Ad