Harrison Mwakyembe Adai Mgombea Urais Edward Lowassa Alihusika Kwenye Ufisadi wa Richmond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mhe Mwakyembe amkaanga Lowassa kuhusu kadhia ya Richmond na kusema kuwa asikwepe maana tume ya Bunge ilimkuta na hatia na ikabidi ajiuzulu Uwaziri Mkuu.

Ameeleza hayo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia CCM Mhe JPM leo huko Kyela katika mfululizo wa kampeni za mgombea huyo. Mhe Mwakyembe kaeleza kadhia hiyo kwa maelfu ya wananchi waliokuwa wakishangilia tangu mwanzo hadi mwisho na wameahidi na kuapa kutotoa kura zao kwa Lowassa!

Alieleza kuwa leo waTanzania wanalipia umeme kwa bei ya juu kutokana na uroho wa Fisadi huyo kwavile Tanesco iliingizwa kwenye mkataba mbovu na pia gharama za mabilioni zilizolipwa kufuatia mkataba mbovu na kesi zilizojiri baada ya mkataba kusitishwa!

Wakati huo huo aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe Mwakipesile, aliyestaafu ameuambia mkutano huo kuwa yeye hawezi kukihama chama cha Mapinduzi kilichomsomesha na kukulia kama mwanachama.

Hii inavunja uongo uliozushwa dhidi yake kuwa kakihama chama hicho na kuhamia UKAWA!

Source:Jamii Forums
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na wewe mwakembe ulihusika kwenye UFISADI upi? maanake asilimia kubwa yakwenu ni MAFISADI!! hata msemaje MUNGU akisaidia mwaka huu mkashindwa iba KURA, EDWARD NGOYAI LOWASSA ndiye RAIS WETU.

    ReplyDelete
  2. Rais wa machizi na sio wenye akili timamu!Piga ua galagala kamwe hatuwezi kumpa mbwa kilichokitakatifu!

    ReplyDelete
  3. We nawe msenge kwani iyo ccm ni watakatifu hakuwa wanaona wizi Wa lowasa kwanini hawakumfunga na hao wakina chenge na wengine umo mbona hawaongelei acha umapumbu mkundu mkubwa wewe

    ReplyDelete
  4. Jamani sio vizuri kutumia lugha ya matusi,wewe Anoymous wa 1;42pm ndio chizi kabisa,mfano mdogo UDA ilivyochukuliwa na Ridhiwani Kikwete wewe uliona ni sahihi hivyo?sasa wewe ndio unawapa mbwa kilo kitakatifu.

    ReplyDelete

Top Post Ad