Haya Ndio Majibu ya Diamond Platnumz Kuhusu ishu ya Mtoto Kupimwa DNA…

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwa na stori ambayo imechukua sana headlines kuanzia mitandaoni mpaka kwenye Magazeti inayomhusu Diamond, Zari na mtoto wao.

Diamond amepatikana na kutolea majibu ishu hiyo, barua ya kudai mtoto wake akapimwe DNA bado haijamfikia na kama ni ishu ya Kisheria inayohusu Mahakama amesema ingepitia kwa Wakili au Mwanasheria na sio kupitia Mitandaoni.

Kingine amesema kwamba Zari hajawahi kuolewa na wao wameamua kuishi maisha yao na hawezi kufuatilia maisha ya mtu wala wao kufuatilia maisha ya watu.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kapime DNA ili umalize utata wa walimwengu. uenda sio wako make walikuwa wapenzi wako walishasema una kizazi.

    ReplyDelete
  2. lisemwalo lipo njiani.

    ReplyDelete
  3. Dai anaogopa kupima DNA, ndo maana anamajibu meengi yasokuwa na maana.

    ReplyDelete
  4. hakuna kupima hacha waendelee kuuza sura mitandaoni wanatafuta umaarufu tu,

    ReplyDelete
  5. na wewe unauza nini tigo. EDNA NICHOLAUS.

    ReplyDelete

Top Post Ad