Maimartha, Wema Sepetu Kumekucha>>>Hadi Polisi Waingilia>>>Kisa na Chote Ingia Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KUMEKUCHA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mtifuano kati ya mtangazaji maarufu wa televisheni, Maimartha Jesse na staa wa filamu, Wema Sepetu baada ya bifu la wawili hao kufika jeshi la polisi.

Akipiga stori na gazeti hili, Maimartha alisema Wema alikuwa na nia ya kumdhalilisha kwani baada ya kumtafuta na polisi na kumkosa, waliamua kumpigia simu na kumuita kituoni Kijitonyama (Mabatini) ambako alisomewa mashtaka ya kumtukana Wema katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

Yaani Wema alitaka kunidhalilisha ndiyo maana polisi walikuja kibao kwenye gari lao hapa dukani kwangu na waliponikosa ndiyo wakanipigia simu kwamba niende mwenyewe kituoni, nikaenda nikatoa maelezo yangu ila sasa nitakula naye sahani moja kwani watu wake wanaendelea kunitukana sana mtandaoni nami siwezi kukubali,” alisema Maimartha.

Chanzo: Globalpublishers
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mai aache unafiki, kaanza kumtukana Wema, akijibiwa ooh nitakula nae sahani moja, anafikiri anamtisha?

    ReplyDelete
  2. ivi huyu mai kaachika au... maana kutwa na watoto wadogo mitandaoni huyo mume anamuangalia saa ngapi?

    ReplyDelete
  3. ANATAKA KUJUA YA WEMA YA MUMEWE HAYAONI, ZEE ZIMA.

    ReplyDelete
  4. mapengo alikuwa anamtafuta Madamu siku nyingi, kiki zingine hazina mshiko ni aibu tuu

    ReplyDelete
  5. Mbona yeye haishi kitafuta Kiki kila siku mara mziwanda mara ccm,mara Davido mara kaonewa kugombana na huyu mara Rafiki zake wote kagombana nao nyie mnampa bichwa kubwa kumtetea hinabidi hajilekebishe sio vizuri kwa watoto wenu wa kike huoenda kuiga tabia za master kama hao

    ReplyDelete
  6. Hao Timu madam wote vilaza, hata akiwaambia leo usinde kumpa Mapenzi mpenzi wako nyumbani wao sawa 2!! Kama wamelogwa!?

    ReplyDelete
  7. wema nuksi ya ccm hiyo kaa nayo mbali maimartha.

    ReplyDelete
  8. Team wema utawajua tuu mtaendelea kutumiwa kama condom nyie

    ReplyDelete

Top Post Ad