Makongoro Nyerere Amchana Lowassa Laivu..Adai ni Mgonjwa Watu Wasijaribu Kumchugua...Kauli yake Yawasikitisha Wengi..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa masikitiko Makubwa sana, nimemsikia mtoto wa rais wa Kwanza wa Tanzania, hayati baba wa taifa, Makongoro Nyerere siku ya leo pale Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni za urais za CCM akitoa kauli za kejeli, majigambo na vijembe kuhusu Afya ya Edward Lowassa.

Makongoro kwa mbwembwe kabisa na mizaha alikuwa akiwashawishi watu waliokuwa wanamsikiliza pale, wasijaribu kabisa kumchagua Edward Lowassa kwa sababu ni mgonjwa!
Makongoro anadhani ugonjwa wa mtu ni jambo la kufurahia na kushabikia.

Napenda kumkumbusha Makongoro kuwa wakati baba yake(Hayati Mwalimu Nyerere) anampigia kampeni Benjamin Mkapa mwaka 1995 nchi nzima, tayari mwalimu alikuwa ameshagundulika ana ugonjwa wa Kansa ya damu(Leukemia) na wataalamu wake walishamwambia kuhusu Poor Prognosis ya hali hiyo(He was told that, he would die within six years after been diagnosed to have Leukemia). Hakuna mtu alikuwa anajua hilo wakati huo zaidi ya Mwalimu mwenyewe, Daktari wake
binafsi(Professa Mwakyusa) labda na wasaidizi wake wa karibu sana wa Mwalimu. Lakini Mwalimu alionekana kwenye kampeni za CCM 1998 akiwa mwenye Afya njema, Furaha na Uchangamfu mkubwa sana. Kwa kifupi tu, tambua ugonjwa wa mtu ni siri ya mtu binafsi na wala sio jambo la kushabikia au kushangilia.

Makongoro tambua siasa ni hoja, tena hoja zenye nguvu. Utu wa mtu ni jambo la muhimu sana. Chunga sana ulimi wako. Ipo siku mwenyezi Mungu atakufundisha kitu katika hili ulilolisema leo pale Jangwani\

By J Mdakuz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona baba yake yeye akikufa kwa m kanda wa jeshi halafu alikuwa mfiraji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma kabisa Nyegere we. Mfiraji bababyako aliyemfira mama yako ukazaliwa kutokea matakoni. Pussy wewe!

      Delete
  2. Naye Makongoro anawezaje kumcheka mtu kiafya? Ulevi na umalaya wake waweza kumwondolea maisha wakati wowote. CCM wanangonjera na matusi sana.

    ReplyDelete
  3. Sumaye mjanja sana kwani anajua haswa Lowasa hataweza kumaliza kampeni kabla ya kuugua hivyo akaamua kuingia UKIWA ili achukue nafasi ya kugombea Umagogoni!
    Kweli huyu Mr.ZIRO amekwenda shule America!

    ReplyDelete
  4. Msitukane jamani. Ila mbona naye anaongea anakohoa mwanzo mwisho! Uzima wake uko wapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwenyewe Ni HIV positive mbona siku nyingi? Mpk mke kamkimbia they are not share same bed na huyo pimbi

      Delete
    2. Inaelekea hata wewe ni HIV positive maana mnakutana kwenye foleni za kuchukua pumba pamoja!

      Delete
  5. Msitukane jamani. Ila mbona naye anaongea anakohoa mwanzo mwisho! Uzima wake uko wapi?

    ReplyDelete
  6. Mtasikitika sana mnapo ambiwa ukweli nyinyi ndo chongo kuita kengengeza basi nyie tu mchambe watu mkichambwa mnaandika habari eti masikitiko hii ni siasa kuchambana ni utamaduni utashinda zipi kwa kumpaka mafuta mpinzani wako maovu yake weka hadharani kama si kweli asibitishe au apeleke mahakamani na ushahidi kamili kama mtu anachambwa hawezi kujibu mapigo ni kweli kayafanya ila anaomba magazeti kuandika habari za kumhurumia kama kaonewa

    ReplyDelete
  7. Hata UKAWA waweke jiwe tutalipigia kura we need change mwaka huu watasomeshwa namba wao tumechokaa ile mbaya hasa sisi wa Njombe mahindi yetu wametukopa bila Riba wanazidi kutuongezea umasikini halafu badala la kujadili hoja wanajadili mtu hizi si ndio siasa za maji taka hatuelewi kitu tunataka mabadiliko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama Lowassa hapati kitu hilo jiwe utalipigia wewe pumbaaaaa

      Delete
  8. Hata UKAWA waweke jiwe tutalipigia kura we need change mwaka huu watasomeshwa namba wao tumechokaa ile mbaya hasa sisi wa Njombe mahindi yetu wametukopa bila Riba wanazidi kutuongezea umasikini halafu badala la kujadili hoja wanajadili mtu hizi si ndio siasa za maji taka hatuelewi kitu tunataka mabadiliko

    ReplyDelete
  9. CCM KWELI VIPOFU HAWAJUI, WANACHO FANYA, SASA HUYU MLEVI HUYU KWENYE KAMATI ? KUWA MTOTO WA NYERERE SIO USHAWISHI HATA KIDOGO

    ReplyDelete
  10. HAPA NYERERE ALIKULA HASARA

    ReplyDelete
  11. CCM tunasongambeleeeeee hakuna kumchagua. Kinyonga leo July kesho August nilikuwa huko nimehama fastaaaa Aibu chadema nilifiri mnaakili mtamchagua mtu aliyekuwa kwenye chama kwa muda mrefu anayekijua chama mnamchagua mtu aliyekuwa mpizani wenu.mtaisoma namba October 25 Dr Slaa unaakili sanaaa. Kutofatana wasiyojitambua.Wewe ndiye uliyetakiwa kutuwakilisha sasa wamekutupa namchukua. Chungu kipya na kutupa cha zamaniJamani usidanganyike watanzania liangalieni hili na mtakakafari mimi nililiona nikakimbia fastaaaa kijani manjano. CCM oyeeeee Magufuli JUU JUU zaidi 😜

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna lolote ccm wangekupenda wangekuenyesha ulivyokuja hapa.... asiyemjua makongoro mlevi nani! potea huko dk. silaha hamumpati ng'o, aje kwenye chama cha makabaila lo!

      Delete
  12. makongo mwenyewe ana ngoma,na ameisha anza kuicheza kwani hamkumuona jana ana kohoa mwanzo mwisho.

    ReplyDelete
  13. Tatizo la hawa watu ni ulevi na ubabe ndio vinavyo waletea shida, huyu makongoro analake jambo kwa sababu alishaanza kumshambulia Lowassa tokea bado yuko nae CCM mnadhani sasa hivi ndio atamuacha? Lakini kinacho sikitisha zaidi ni pale wakuu wa nchi wanapotoa kauli za kejeli na kuporomosha matusi kwa walipa kodi. Mkuu ameongoza nchi baada ya muda wake kumalizika walipa kodi kuna mapungufu wameyaona nakuhoji kulikoni lakini mpaka leo hii mzee hataki kuzungumzia mazagazaga ktk uongozi wake, yaani ni ubabe tu mara, oooh! (MKAPIGE KURA ASIE TAKA ATOKE) walipa kodi wamechoka kuburuzwa, oooh! (WAPUMBAVU, MALOFA) He! wazee hebu chungeni heshima mliyopewa na walipa kodi.

    ReplyDelete
  14. Lwasa gesi inampeleka kuzimu.

    ReplyDelete
  15. MAKONGORO NI MWENDAWAZIMU.MWINYI MKAPA NA KIKWETE PIA WAKUU CCM YOTE WANALIJUA HILI.KILICHOFANYIKA NI KWA MAKUSUDI KUMUWEKA KWENYE KAMATI YA KUMTUKANA LOWASSA MAKONGORO NI MTEJA WA MIREMBE HOSPITALI TEULE YA MAGONJWA YA AKILI.[WAPO 4 WA FAMILI MOJA] TANGU 1982 FILE NA.ML/ASAD/MN KWA SASA HUPATA ORTHOMOLECULAR TREATMENT HUYU BWANA ANA DISRUPTIVE MOOD DYSREGULATION,DEFICIT HYPERACTIVITY DISORDER,CONDUCT DISORDER NA MAJUZI AKAGUNDULIKA ANA ACUTE MENTAL SUBSTANCE ABUSE.KWELI UONGOZI WA CCM UNA NIA NA DHAMIRA MBAYA YA MAKUSUDI KWA TAIFA LETU

    ReplyDelete
  16. duuuuuuuuuuuuuuuuu balaaaaaaaaa lazima mwaka huuu ccm tuwagagaze kwa namna yoyote ileeeeeeeeeeeeeee pumbavu makongoro

    ReplyDelete
  17. UKITEMBEA NA KICHAAA NAWE UTAKUWA KICHAAA,UKITEMBEA NA MLEVI PIA UTAKUWA MLEVI,NAFIKIRI CCM NA MAKONGORO NYERERE TABIA ZAO WOOOTE HAZITOFAUTIANI NA TUMESHASHUHUDIA HILO

    ReplyDelete
  18. mamvi mwenyewe ana kanga sketi .kanga sketi ni moto

    ReplyDelete
  19. GONGO IMEDUMAZA AKILI YUKO KWENYE ASILIMIA 39 YA UDUMAVU TZ

    ReplyDelete
  20. MAKONGORO KWA SASA HANA MKE HANA NYUMBA ANAKUNYWA GONGO ANA KAA UGENINI KIILA ANAPO LALA BALAA INZI WANAMFATA FAILI LA MIREMBE LIMEZIDI KUNENEPA NDO MAANA ALIFUKUZWA MSASANI NA MAREHEMU BABA YAKE

    ReplyDelete

Top Post Ad