Mbowe na Lowassa Yawezekana Wakawa Tatizo CHADEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watanzania huenda wakijua biashara ya Mbowe na Lowassa watajiona wanavyo fanywa wajinga. Na zaidi wanachama wa CHADEMA, Mbowe sasa ni Mungu mtu ndani ya chama kiasi cha kuwanyima haki ya kuwachaguwa wabunge wanao wahitaji katika majimbo yao. Wakati majimbo ya Kaskazini akigawana na marafiki zake. Nchi inaingia matatani akifikiri nchi inaongozwa na mashairi yake jukwaani.

Maoni Binafsi Kutoka Kwa Bwana Haki
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. 'SOMETIMES YES, SOMETIMES NO" ndicho ninaxhokiona au kukisema kwa mtazamo wangu binafsi kwa sababu mbalimbali:-
    1. Kutekeleza makubaliano waliojiwekea viongozi wakugawana majimbo kwa
    wanapokubalika zaidi katika kuhakikisha wanaibuka na ushindi kaka uchaguzi
    2. kuwepo na "VISION" chanya katika kuleta mageuzi katka siasa za kisasa katika
    taifa linaloendelea kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho.
    3. Kuto ku "LOOK BEYOND OF PROBOSIS"

    Adhali
    kukosekana uhuru wa kidemokrasia ya kuchagua mtu anaye/wanayemtaka

    ReplyDelete
  2. Hayo ndo mabaliko ya kweli tunayataka wakishika nchi hata rasilimali zote za nchi watagawana na bado tuendelea kuwa masikini kuliko masikini wanasiasa wetu akiwa nje anayoyakemea serikali iliyopo utasema kweli hawa ndo wanafaa kushika nchi na kutufikisha ktk safari ya matumaini kumbe wapi ni njaa tupu natamaa ya madaraka

    ReplyDelete
  3. Mbowe na Edo kula nchi wajinga ndo waliwao, tutaishia kufurika kwenye mihadhara yenu na kumaliza soli za viatu kwa kusingizia hii ndio demokrasi ya kweli, tutajutia kumpa dhamana ya uhai wetu mafisadi sasa wanagawana majimbo kindugu na marafiki na sisi walahoi malipo jahanamu na hili Baba wa taifa aliyasema mtu anaeitafuta ikulu kwa pesa tumuogope kama ukoma lazima azilipe na hayo ndo malipo yake demokrasi bye bye bye bye bye ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  4. NDOTO YA MACCM SIKU ZOTE NI KUWAZA KUWA MASIKINI

    ReplyDelete
  5. Maskini?ww ndiye maskini hakuna kiongozi hata mmoja atakaye kupa fedha mifukoni kwako fanya kazi utapata fedha watanzania kuweni makini ikulu si tandika wala kariakoo imeean ikulu ni mahali patakatifu hakukimbiliwe.

    ReplyDelete
  6. Propaganda za ccm hizo,naona ccm mmepaniki tayari na kuanza kutunga stori poleni sana mwisho wenu umefika.

    ReplyDelete
  7. Mdau hapo juu 16 Aug at 1:22pm Asante kwa ufahamu ulionao .........natamani watanzania wangefunguliwa wakaona ni wapi wanakopelekwa wange geuka fasta kama jeti..lakin tatizo ni moja watanzania hatupendi kusoma,,,,kusumbua akili zetu kwa kuwaza tunapenda miteremko sana ndio maana tunaona watu wanafurika huko uwanjani kwa kufuata upepo bila kutambua ni nin kinachokwenda kufanyika ..........pole Tanzania ..mungu rehemu nchi yangu. kwa kutenda muujiza wa kutopitisha hizo mvi uko juu AMEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad