Mpenzi Wangu Alikuwa Anafanya Sana Musterbation, Sasa Jogoo Hapandi, Nimsaidiaje?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24) ni kijana mtanashati mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha

Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la erectile dysfunction(jogoo hawiki) yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak nikamuuliza nini tatizo hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically. Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani so i understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just bcz of the pressure ya kupona haraka

Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.

Na pia tatizo jingine ni kuwa ame loose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake kwahiyo muda wote he questions my true feelings jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.

Sasa wadau swali langu ni je hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida??na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??

(This is serious question) thanks in advance
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole kwa tatizo la bf wko na pia hongera kwa kuwa muelewa na mvumilivu kwa mwenza wako. Kuhusu ilo tatizo I think ni vyema kumuona specialist. Kuliko kuchukuaa ushauri wa humu kwenye mitandao.hope. nimesaidia japo kidogo

    ReplyDelete
  2. tafuta dawa... tatizo hilo halitibiki kwa kuwacha nyeto...

    ReplyDelete

Top Post Ad