NAPE-Lowassa Amepewa Hiyo Nafasi ya Kugombea Urais Baada ya Kuinunua Kwa Viongozi wa Ukawa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema Lowassa hapendwi na wafuasi wa vyama vya upinzani, isipokuwa alipewa nafasi hiyo baada ya kuinunua kwa viongozi wa Ukawa, ambao wana tamaa ya fedha.
"Kila mtu anajua kuwa huyu bwana ameinunua hii nafasi kwa viongozi wa Ukawa, ndiyo maana watu wenye akili zao, wameamua kujiweka pembeni wamewaachia wenyewe na mzigo wao usiobebeka, inashangaza kuwa sisi tunawafukuza mafisadi wao wanawapokea, sasa wakipewa nchi si itakuwa hatari zaidi. Hivi umeshawasikia tangu ajiunge nao wanazungumza kuhusu ufisadi? Wanaona aibu kwa sababu katika nchi hii, ukitaja fisadi na mafisadi huwezi kumweka kando. Unafikiri Watanzania ni wajinga kiasi kwamba hawaoni huu usanii??” alihoji Nape.

Source GPL

Nini maoni yako?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna sera ongea ya chama chako mnatokaje maana safari hii kamu kamu najua hulali unaota ukawa Tu jipange mkuuu maaana hata jimboni kwako kwamoto

    ReplyDelete
  2. that the fact Nape

    ReplyDelete
  3. We kweli mjinga na ccm wenzako umati wooote huo ameununua alafu hao walio jitoa ukawa na waroho Wa madaraka hawatuathiri chochote mana no wapumbavu kama wewe nape

    ReplyDelete
  4. Nape mbona chenge mmemkumbatia Na ndiyo fisadi papa Yuko kwenye kashfa zote kubwa zilizoibuliwa bado kapewa nafasi ya kugombea ubunge. Hilo hujaliona. Kweli watanzania WA Leo co wajinga hivyo wanajua mafisadi wako wapi Na wanaogopwa vbaya. Ana tibaijuka Yuko wapi. Huyo lowassa alisafishwa vzr Sana Na serikali ya ccm kuwa hakuhusika. Watanzania tunajua anahela lkn hawezi kununua watu wote. Tuzungumzie facts za hali ya watanzania wapiga Kura Na familia ya mawaziri wabunge Na viongozi wengine je yanawiana? Ukiona tofauti watu wanajiuliza kwa nn? Hivyo Ni haki Yao kufikiri kuwa yupo mtu anaweza kuwakwamua. Lowassa anaaminiwa hivyo. WW tunakujua unabifu Na lowassa toka mda mrefu. Hivyo watu hawatashangaa ukimtaja kwa ubaya. Lkn ukweli unajulikana Na jampeni hazijaanza utasikia Tu mafisadi wakitajwa. Hata ww c utamtaja fisadi. Na itapendeza Sana ccm mwaka huu Na Wao watasema upinzani kunamafisadi. Swali dogo Tu Lin wapinzani walitawala nchi Na wakaisababishia hasara ya mabilioni ya fedha. Hunajibu.tusubiri kampeni.

    ReplyDelete
  5. Hivi ni nani aliwahi kufukuzwa ccm kwa ufisadi ?Hilo ni jambo lisilowezekana kwa ccm

    ReplyDelete
  6. We mwenyewe fisadi papa, jimbo unalogombania wanalia kilio cha mbwa koko! Muache our Edo bwanaa...

    ReplyDelete
  7. mbona wanahangaika kama mange kimambi? Kwani wakikaa kimya wataumwa? Wanazidi kujiaibisa mpaka aibu.

    ReplyDelete
  8. Umefika wakati wee nguchiro ukatae kuendelea kuwa kinywa cha Mheshimiwa Kikwete.Muache aseme yeye mbona bado yeye The Mightly Kabakiza Miezi Miwili na siku Saba.Baada ya Hapo Mawili,Aidha aende Uhamishoni Australia au Serikali Mpya Ya Lowassa Ianze kuyapitia Mafaili yake.Asiendelee Kukutumia,Hebu ona Tunavyo KUUMIZA

    ReplyDelete

Top Post Ad