AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
****
Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai jana alijiunga na Chadema na kutambulishwa katika mkutano wa Baraza Kuu la Chadema.
Mgana, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Iramba Mashariki (2000-2010) alitambulishwa pamoja na Mbunge wa Arumeru Magharibi (CCM), Goodluck Ole Medeye na ofisa mwandamizi wa chama hicho, Matson Chizii.
Makada hao wa CCM jana usiku waliambatana katika kikao hicho na aliyewahi kuwa waziri mkuu Edward Lowassa.
Habari zinasema kuna makada zaidi wa CCM watakaotambulishwa katika mkutano mkuu wa Chadema leo.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Imekuwa fashion kutafuta umaarufu wataingia waliomo na wasiokuwemo ili mradi vurugu mechi
ReplyDeleteNa bado mpaka watanyooka tu mwaka huu.
ReplyDeleteHuyo Msinda si juzi juzi kashika nafasi ya pili ktk kura za maoni CCM wajameni hata haya hawana alikuwa wapi kutafuta haki kabla ya kushindwa tamaa ya fisi itawatoa roho na mnaudanganya umma wa wa watanzania huruma hawana lini hawa wanasiasa njaa wataerevuka achilia mbali Magufuli jembe hata Iziraili mtoa roho za watu akitutawala hatutazibuka masikio kusoma sio hoja tatizo letu ni nafsi zimejaa kutu
ReplyDelete