Nani Kuhamia Ukawa/Chadema Kesho- Kingunge na Serukamba?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani kesho kwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kuna watanzania wenzetu watahama kutoka CCM kwenda UKAWA/CHADEMA. Kwenye list hiyo, nawaona Kingunge Ngombale Mwiru na Peter Serukamba ni watu ambao kimwili wako CCM lakini kifikra wako UKAWA. Sio vibaya 'kuspeculate' kwani siasa zetu za ovyo ovyo ndio zimetufikisha hapa. Kwa wale wenye taarifa za 'chumbani' si vibaya mkaanza kuwatayarishia waandishi wa habari vichwa vya habari vya kesho kwa kutujuza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Just wait n you w see,no need of papara

    ReplyDelete
  2. Lowassa ndo Kila kitu, lazima ccm waondoke madarakani mwaka huu, tumekichoka chama

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lazima ni kufa tu vingine having ulazima. Mkumbo ndio unaokuponza na ujui ulifatalo PUMBAVU LOFA Wee!

      Delete
  3. Nasikia pia Magufuli kimwili yuko ccm, LAKINI YUKO UKAWA, ANA IMANI KUBWA NA LOWASSA. Huenda, akatangaza kuikacha ccm kesho. Pia yuko nchimbi, simba na yule mh...

    ReplyDelete
  4. Nimesikia Zitto kabwe anarudi chadema.kutoka ccm b

    ReplyDelete
  5. Nasikia pia Magufuli kimwili yuko ccm, LAKINI YUKO UKAWA, ANA IMANI KUBWA NA LOWASSA. Huenda, akatangaza kuikacha ccm kesho. Pia yuko nchimbi, simba na yule mh...KIBASA...

    TUNA-IMANI NA LOWASSA; TUNA IMANI NA LOWASSA; TUNA IMANI NA LOWASSA TUNA IMANI NA UKAWA; TUNA IMANI NA CHADEMA; TUNA IMANI NA CUF; TUNA IMANI NA TLD; TUNA IMANI NA NCCR

    ReplyDelete
  6. SAWA SAWA`SUPER SWIPPER LOWASSA HUYO ANAKUJA WA MIKOANI NA MAJIMBO YOTE ATAKAYOPITA MHESHIMIWA LOWASSA KWENYE MIZUNGUKO YAKE YA KAMPENI KITAIFA.YAPO MAMBO MENGI SANA TUNATAKA KUMFANYIA KAMA VILE KUREJESHA KADI ZA CCM,KUMBARIKI NA KUMTAWAZA UTEMI,KUMUANDALIA KERO ZETU,KUMCHANGIA FEDHA ZA GHARAMA ZA KAMPENI NA KUMPATIA ORODHA YA WATUMISHI WA DOLA WANAOTUNYANYASA WANANCHI ORODHA YA WATUMISHI WA UMMA HUSUSANI TANROADS WANAVYOSHIRIKI RUSHWA KUBWA.KARIBU BABA MIKOANI.

    ReplyDelete
  7. Mapokezi ya wananchi wanaoihama ccm ni makubwa mno lakini pia tusisahau hili ni la MUHIMU SANA wapo watanzania raia wa kawaida wasio wanachama wa chama chochote na sasa wameamua kwa maelfu malaki waliokwisha amua kujiunga na UKAWA ombi letu ni kwamba kila chama kwenye umoja wa UKAWA waje na meza za kutosha miavuli ledger na kadi nyingi sana sana KUANDIKISHA WANACHAMA WAPYA PAPO KWA PAPO.Hili ni la muhimu sana msilipuuzie

    ReplyDelete
  8. naommba usimwite zito kabwe mwite KIBWETELE njozi zake wabunge 200 bunge lijalo novemba analo azimio la tabora na maamuzi ya kibondo.siku nyingine kibwetele anaota analia siku nyingine anaota anacheka KIVUMBI HICHO.

    ReplyDelete

Top Post Ad