Petit Man Amuanika Mrithi wa Esma Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mpambe wa staa wa Filamu Bongo, Wema Sepetu, Hamadi Manungwa ‘Petit Man’, juzikati alimuanika rasmi mrithi wa aliyekuwa mkewe, Esma Abdul ‘Esma Platnumz’ baada ya hivi karibuni kuingia kwenye mgogoro wa ndoa.

Baada ya gazeti hili kuanika habari ya kuvunjika kwa ndoa hiyo wiki iliyopita huku Wema akitajwa kuwa chanzo ambapo yalizuka mambo mengi mpaka watu kupelekana polisi, hivi karibuni Petit Man alimuanika mwanamke mwingine akidai ndiye wa kuchukua nafasi ya Esma.

esmaBaada ya picha hizo kuzagaa mtandaoni, mwandishi wetu alizungumza na Petit Man ambaye alisema: “Niko kwenye mchakato wa kutoa talaka kwa vile sipendi kuwekwa kwenye mitandao na kudhalilishwa kila wakati, baada ya talaka nitaoa haraka.”

Esma kwa upande wake alisema anachosubiri ni talaka yake tu kwani ameshachukua baadhi ya vitu vyake kwenye nyumba waliyokuwa wakiishi na Petit Man.

Source:Global Publshers

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alitaka kuonja kuma ya Esma saiv kishaipata anaona inatosha atafute mwengine. Hivi nyinyi wanawake hamuwezi kuwasoma hawa wanaume vicheche! mkiona rasta mnatoa nyapu mkiona tako wazi mnatoa nyapu. wanaume wa aina hii si wa kuolewa nao ndoa hazidumu kabisaaaa.

    ReplyDelete
  2. mwanamke na mwanamme mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe.
    hawa wote wamevunja ndoa yao.
    mwanaume hakuwa mwaminifu kozi huwezi kuwa na mpenzi just a day after dissing your wife.
    Mwanamke naye aliolewa kwa mtandao tu au alitoa mkosi (in wazanzibar voice) nishatoa mkosi vooooo!!
    huwezi kushinda ukianika mahabat yenu katika mitandao, kuutwa mrs. wakuache kuutwa nyonyonyo. watu HUSDA!!
    lakini pia huyu Esma huyu karithi, naye atazaa watoto kila mmoja baba yake walaaa kozi mama zake ndo hivyo hivyo na hii ndiyo life yao. na pia misaada ilistop kwa kaka chibu akaona isiwe taabu anakosa maraha ya wifi zari kwa ajili ya pettiii aaah bwaga manyanga, wifi atakupa connnection za watu wakubwa halooo.

    hawa wote stupid.

    ReplyDelete
  3. wema anasingiziwa tu. mwanzo ilikuwa anamtafutia wanawake, sasa imekuwa anamlala loool, na wewe wema ukome kujikomba kwa watu. huyo ndo alikuwa mkweo na wifi darling wako. mx

    ReplyDelete
  4. Alikua na mtu huyo tayari usiniambie unatoa talaka na kuoa haraka inamaana umempata wapi haraka hivyo mtu wa kuoa ,labda kama unaleta style ya kizamani unatafutiwa mke. Tabia kama ngozi utao wengi tu na kuacha.

    ReplyDelete
  5. Huyo petit nahic atakua msenge baridi maana kila kitu ye na wema

    ReplyDelete
  6. Mwanaume malaya anavunja nyumba yake kwa mikono miwili mwenyewe, sasa nungaembe dio mshauri mbona kiruuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad