Nape Nnauye Awatuhumu UKAWA Kwa Kutengeneza Kadi Bandia za CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amedai kuwa chama hicho kimebaini mchezo mchafu unaotaka kufanywa na Ukawa wa kutengeneza kadi bandia za chama hicho na kuzigawa kwa watu wao, ili baadaye asipopita mgombea wao, ionekane wana CCM wanakihama chama kwa kurudisha kadi zao.

Akizungumza katika Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana, Nape alisema kuna taarifa za uhakika kuwa kuna baadhi ya makundi ya Ukawa yamepanga mchezo huo wa kutengeza kadi bandia.

“Wameanza kuratibu mchezo huo ili wazigawe kadi hizo kwa watu wao, ili baadaye asipopita mgombea wao, ionekane wana CCM wanakihama chama chao kwa kurudisha kadi hizo kwenye shughuli mbalimbali za vyama hivyo vinavyounda Ukawa.

“Wakati tunachunguza kwa kina suala hilo, Ukawa waache mchezo huo wa ovyo na Watanzania wakwepe mchezo huo na wawe makini,” alisema
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uchafu wa WAKIWA umeshakwama

    ReplyDelete
  2. Baada ya niny ccm tuwape hio kashifa mmeanza kutupia kwetu!!! Hamna adabu...kwanza wanainch hatujui mlikozpeleka mashine za uandkshaji nazko chini ya ulinz wa nan shenz nyiny maccm...

    ReplyDelete
  3. Nape, Enzi zako za Kuwa Cha Upinzani ZINAKARIBIA. Jiandae kijana! Una mdomo mrefu sana - wewe na huyo ndugu yako wa KINONDONI, BWANA M!

    ReplyDelete
  4. N A B A A A A A D O

    ReplyDelete

Top Post Ad