Nuh Mziwanda Azidi Kumkana Wema,Afunguka Haya Redioni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Bongo Fleva,Nuh Mziwanda amemkana tena staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu kuwa hajawahi kumtongoza na sauti iliyorekodiwa kwenye simu akimtongoza mwigizaji huyo siyo yake.

Akizungumza kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM,alipokuwa akiachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Hadithi’ alisema kuwa Wema hakuwa na nia nzuri na penzi lake na Shilole na alitaka kuwagombanisha na mpenzi wake huyo.

Sijawahi kumtongoza Wema na hakuwa na nia nzuri na penzi langu na Shilole alitaka kutugombanisha na nasisitiza ile sauti haikuwa yangu,’’alisema Nuh Mziwanda.

cloudsfm.com

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nuhu wacha uongo hebu ona haya kidogo, sasa Wema akugombanishe na mpenzi wako ili iweje?

    ReplyDelete
  2. aka kaa Nuhu bado kanabemendwa na Shishi? bado anaona aibu alifikiri anabebwa na Wema ale vya bure.

    ReplyDelete
  3. MARIOOO COM. SHILOLE HANA PESA SASA NUHU ANAANZA KIKI TENA.

    ReplyDelete
  4. Madam hana muda na vitoto. tafuta mwingine Mziwanda

    ReplyDelete
  5. anaogopa vipao vya Shihi,

    ReplyDelete
  6. Nuhu anaogopa kuchapwa na Shilole, na cm ilisha vunjwa vunjwa hana kitu

    ReplyDelete
  7. kweli alimtongoza Wema, mbona bado anakataa, wakati mambo yalishakwisha? anachapwa vibao kila cku asubuhi na jimama!

    ReplyDelete
  8. mmh huyu bado anapewa adhabu na shishi.

    ReplyDelete
  9. Kama wewe Nuh no kweli ulimtongoza yule malaya akakunyima inabidi ukaogee njia panda.Iweje mama huruma amvulie chupi kila mtu isipokuwa wewe?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nafikiri hata baba yako alimvulia chupi,chuki binafc zitakuua,ni nuksi sana kumsema mtu ambae ukweli wake huujui,mshenzi mkubwa wewe,malaya mama ako aliekuzalia bar.

      Delete
  10. kwel we noma yan uyo shilole kapigwa marufuku kwakutuvalia uch nakuning'iniza maziwa ovyo yananinginia kama kamba umarufu umeisha sasa unatafuta umarufu kupitia wema tafuta mapya kuwa mkal kam dmond

    ReplyDelete
  11. wewe Anony 2.49 PM. hata mama yako alikuwa malaya, tena wa baa, alikuwa anainamishwa bureee, mpaka ukatoka wewe, sembuse Wema.

    ReplyDelete
  12. mama huruma Mama yako mzazi alimuambukiza ukimwi baba yako ndo maana akaachwa Anony 2.49 pm

    ReplyDelete
  13. mama huruma wako wengi umesahau hata wewe na ukoo wako unawavulia chupi watoto?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli,mimi ni wa ukoo wa panya c..m hata chupi tulishasahau kuvaa.

      Delete
  14. BORA WEMA MAMA HURUMA, KULIKO WEWE ANOY 2.49 PM. UNAINAMISHWA CHOONI HUNA HADHI HATA YA KUPELEKWA GEST UKO WAZI MBELE NA NYUMA.

    ReplyDelete
  15. utakufa wima kwa kumuota Wema u mama huruma wake unalipa, jiulize wewe Anony 2.49 PM. unapumuliwa nyuma bila dau.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kupiga muster....ukimuwazia huyo Malaya unaemtetea.Dau lake usiku mmoja utauza kiwanja.

      Delete
  16. wacha hasira mdau 2. 49 PM. tafuta wa kukutoa stress naona hujavuliwa chupi na mabasha siku nyingi, unatamani ungekuwa Madam wapiiiiiiiii utakunya nyasi mwaka huu.

    ReplyDelete
  17. Wema ni malaya tu

    ReplyDelete
  18. Kuna masupastaa wengi Tz wa movie lakini hawana mkwanja wala mikwara kama Wema,biashara ya umalaya ya kuuza' nyapu' ya nyuma ndio inamfanya awe malaya mashuhuri kuliko wote tz.ni aibuuuuuuu!

    ReplyDelete
  19. hahahahahaha napita TU

    ReplyDelete

Top Post Ad