Ombi la Ukawa Kufanya Mkutano Jagwani Jumamosi hii 29 Agosti Lakataliwa...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jiji la Dar es Salaam wamemzuia Mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamosi ya 29 Agosti, 2015.
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, James Mbatia amesema jiji umewagomea kufanya uzinduzi huo Jangwani kwa madai kuwa tayari kuna mtu mwingine ambaye ameshalipia uwanja huo.
Mbatia anasema pamoja na kufanya juhudi za kuomba kutajiwa aliyelipia uwanja huo ili wazungumze naye, Jiji walikataa.
Mbatia anasema viongozi wengine wa UKAWA wanashughulikia suala hilo ikiwa pamoja na kumtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Damian Lubuva kuingilia kati.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ratiba ya lowasa;
    Trh 24/08/15-kupanda daladala kukutana na wananchi
    Trh 25/08/15-kupata chai kwa mama ntilie walioko mtaani
    Trh 26/08/15-kwenda Tandale kubeba magunia.
    Trh 27/08/15-kukutana na wachimbaji wa kunduchi na kufyatua Matofali
    Trh 28/08/15-kwenda karume kuuza mitumba
    Trh29/08/15-kufanya usafi kwa kusafisha mitalo na bararbara zilizopo
    dsm
    Tar 30/08 KULALA MWANANYAMALA WARD YA WAJAWAZITO.
    31.8 Segerea kulala na wafungwa ajifunze shida zao

    ReplyDelete
  2. ndo maana tunataka MAHAKAMA YA UHALIFU YA KIMATAIFA ingilie kati katika uchaguzi huu, c unaona vitimbi vya kitotoooooo vinavyoanza MAPEMAAA!! MUNGU YUPO! hata wazuie nini, kama akipenda UKAWA ichukue, itachukua tu!!! naona binadamu tumeshaanza jisahau sasa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo ndio uhalifu gani????hapo kuna uhalifu gani, jaribu kufikiria kabla ya kuandika uchoko. Sasa hapo Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa itaingilia kitu gani hapo?????. Hivi nyie Watanzania mnafiria hivi vyombo vya Kimataifa ni vya kuchezea chezea tu.....tumia akili wewe anonymous 4:21 PM

      Delete
  3. Eee Mungu - HUU USANII WA CCM ni wazi na ukweli KWAMBA GOLI LA mkono ndio HILI LINAANZIA HAPA! Nyie ndio werevu, sisi wapiga KURA na malofa, na wajinga na hata wapumbavu! Ehh Mungu isaidie Tanzania na watu wake. Ehh Mungu ipeleke ccm kuzimu mwaka huu!

    ReplyDelete
  4. CCM is behind all this unfair game walisema watafunga hata kwa goli la mkono wana mchecheto kuwa their time is done japo hawataki kukubali au kuamini hilo kuwa huwezi kuwa juu forever kuna siku lazima ushuke tu either you like ti or not done blew you shit CCM

    ReplyDelete
  5. UKAWA WASIHOFU HATA WASIPOFANYA UZINDUZI WA KAMPENI KURA WALISHAPATA SIKU NYINGI, HAPA SASA NAONA CCM WALIVYO CHANGANYIKIWA NA MWAKA HUU INAVYOONEKA WATAMWAGA DAMU SANA

    ReplyDelete
  6. Hawawezi kuishinda nguvu ya umma,mtu mmoja anawapelekesha kundi la majangili

    ReplyDelete
  7. HUO NI MKONO WA WAZI WA WAHALIFU WA CCM HAPO KATIKA ZUIO HILI YUMO BILLION 5 ZA ESCROW AMBAYE KWA SASA NDIYE MRATIBU MKUU WA UHARIFU WA CCM KATIKA UCHAGUZI HUU WA MWAKA 2015 JUMAMOSI TUTAFURIKA JANGWANI KUMUONA ALIYEPEWA UWANJA HUU.NIA YA CCM NI MBAYA SANA MAANDAMANO YA NGUVU ZA UMMA NCHI NZIMA HAYAEPUKIKI TUPO TAYARI WAKIKIMBIA NCHI TUTAWASAKA DUNIA NZTMA

    ReplyDelete
  8. Red line 4 ccm-mavi debe-lowasa kusanya ccm wezi wote to ICC after kuchukua/kutugomboa sisi mazezeta,misukule,malofa,sisiwapumbavu kutoka mikononi mwao --AMEEEEEEEEEEEEEEEEN..Ewe BABA Mlezi



    .....

    ReplyDelete
  9. Red line 4 ccm-mavi debe-lowasa kusanya ccm wezi wote to ICC after kuchukua/kutugomboa sisi mazezeta,misukule,malofa,sisiwapumbavu kutoka mikononi mwao --AMEEEEEEEEEEEEEEEEN..Ewe BABA Mlezi



    .....

    ReplyDelete
  10. DAWA TUKAPIGE KURA KWA HASIRA

    ReplyDelete
  11. SI IENDI CCM ILA KWA HILI M MEWAONEA UKAWA HAWAKUTIMIZA MASHERITI KWANZA TUMEPOTOSHA JAMII ILE BARUA KAMA MEIONA NA KUISOMA OMBI LIMEOMBWA NA KATIBU MKUU KITU AMBACHO SIO KWELI KATIBU MKUU HAWANA TANGIA DR SLAA AKAE PEMBENI HAKUNA ALIYETEULIWA KUWA KATIBU MKUU NA PIA WALIOTOA SHORT NOTICE KWA AJILI YA MVUTANO WAO NDANI YA CHAMA NANI ATOE HELA YA CAMPENI LOWASA KAGOMA KUTOA KASEMA ALIZOTOA ZIMETOSHA HATOI TENA NI SWALA LA UKAWA KUJIPANGA UPYA KAMA KWELI NYIE NI WATU WA UKAWA HEBU FUATIIIENI HILI KWA MANKINI.

    ReplyDelete
  12. SIO KWELI MKUU CCM WANASEMA WA TAKUWA NA MATAMASHA YA KUBURIDISHA MALOFA SIKU TATU KWANZA KUWASHUKURU MALOFA NA PIA KUOMBA RIDHAII TENA KWA MALOFA HAO HAO ILA WAKAMALIZIA VILIVYO BAKI,CHUKUA CHAKO MAPEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  13. HIVYO WE KENGE WA CCM UNAJUA MAANA YA SHORT NOTICE UNAJUA UTARATIBU WA OFFICIAL CORRESPONDENCE UNAJUA MAANA YA OFISI YA.KATIBU MKUU.HALAFU WE MATAKO ULICHOMEKEA NENO PESA ZA LOWASSA WAPI NA WAPI.JIFUNZE ADABU HUELEWI KITU KUMBE NDO MAANA HATA BABA YAKO HUMJUI MMEBAKIZA MIEZI MIWILI MUANZE MAISHA MAPYA YA UPINZANI

    ReplyDelete
  14. Tunayaona maonezi tunayaona hasira zetu wananchi zinazidi kupanda CHATI YA LOWASSA INAZIDI KUPANDA HASHIKIKI HAKAMATIKI HASOGELEKI HAWEZEKANI HANA WA MBADALA IKULU NI YAKE

    ReplyDelete

Top Post Ad