Wagombea Rasmi wa Urais ni 8 Tu, Wengine Wahawajakidhi Vigezo Hivyo Wamekataliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


WAGOMBEA RASMI WA URAIS NI 8 TU, WENGINE HAWAJAKIDHI VIGEZO.
Hatimaye katika vyama 12 vilivyochukua fomu za kugombea urais, ni vyama 8 tu ambavyo wagombea wake wamekidhi vigezo vya kugombea urais mwaka huu Tanzania. Vyama hivyo ni
CCM, CHADEMA, TLD, ADC, CHAUMA, ACT- WAZALENDO, NRA na UPDP.
Wagombea hao 8 na vyama vyao ni
1. John Magufuli (CCM)
2. Edward Lowassa (CHADEMA)
2. Anna Mghwira (ACT)
4. Fahmi Dovutwa (UPDP)
5. Chifu Lutalosa Yemba (ADC)
6. Janken Kasambala (NRA)
7. Hashim Rungwe (CHAUMA)
8. macmillan lyimo (TLP)
Wagombea wa vyama vitatu hawajakidhi vigezo vya kugombea urais wa Tanzania, vyama hivyo ni CCK, DP , TADEA.. Chama cha AFP chenyewe hakijafika kabisa katika ofisi za NEC kuleta fomu zake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SAWA NAONA SASA HIVI KUNA HACKERS WALIOTUMWA NA HAWATUWEZI TUMEENDA SHULE.DALILI ZA KUSHINDWA ZIMEANZA MAPEEMA

    ReplyDelete
  2. Tumeshuhudia Wagombea waliopitishwa na Tume ni nane.asante sana.pamoja hilo tungeomba Tume ituchapishie Ratiba ya mikutano ya wagombea hawa angalau kwa wiki mbili mbili ili tujipange kuwasikiliza.Naomba Tume isitupe majibu mepesi kwa sababu tayari viashiria vimekwisha onyesha Matumizi Mabaya na tena Machafu ya DOLA KUZUIA KWA KUPIGA MARUFUKU BAADHI YA VIWANJA KUTUMIKA.HUU NI UHUNI MKUBWA

    ReplyDelete

Top Post Ad