Wagombea Ubunge Tarime Wakamatwa Kwa Kutengeneza Kura FEKI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Uchaguzi wa kura za maoni kupitia CCM katika jimbo la Tarime Mjini na Vijijini umeahirishwa hadi kesho baada ya kukamatwa makaratasi maalum ya kupigia kura (kura feki ) zaidi ya elfu 20 zikiwa na majina ya wagombea, Nyambare Nyangwine na Gaudencia Kabaka yakiwa tayari yameshawekewa alama ya NDIO kuonesha kura zimekubaliwa

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KWANINI KILA SIKU UFISADI /RUSHWA NDANI YA CCM-Mara wabunge mara madiwani??????????????????bora watenguliwe udhu tu na ukawa na chapombe hamia ukawa--pataiva maana wewe kiongozi mwadilifu

    ReplyDelete

Top Post Ad