Waziri wa Zamani wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha Aendelea Kusota Segerea..Juhudi za Kumtoa Kwa Dhamana Zashindikana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kutoa lugha ya matusi kwa maofisa wa polisi hapo jana.

Baada ya kusomewa shitaka hilo, Masha amekana na kurudishwa Segerea hadi hapo nyaraka zake zilizowasilishwa kwa ajili ya dhamana zitakapohakikiwa.

Masha amefikishwa mahakamani hapo akiwa na vijana wengine 19 ambao wamesomewa shitaka la kutaka kukusanyika bila kibali.

Awali taarifa zinasema Masha alifika katika Kituo cha Polisi cha Osterbay jijini Dar es Salaam jana jioni kwa lengo la kutaka kuwadhamini vijana hao na baadaye alishikiliwa na polisi kituoni hapo.

Masha alikihama Chama cha Mapinduzi hivi karibuni na kujiunga na Chadema na kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Sengerema katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ccm mnafirwa wote kumanina zenu

    ReplyDelete
  2. Nyie polisi na mahakama tendeni haki. ccm juzi imezindua kampeni kwa kutumia lugha za matusi, kusema afya za wagombea wenzao na kuzidisha muda wa kampeni lakini cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyekamatwa kupelekwa segerea na kufikishwa mahakamani. Acheni kutumika vibaya kwa kuwanyanyasa watanzania wenzenu napata shida kuwatofautisha na wakoloni tuliopambana nao kupata uhuru wetu na nyie mmegeuka kuwa wakoloni kwa kuwatesa watanzania.

    ReplyDelete

Top Post Ad