CCM Kuzidisha Muda wa Kampeni, NEC Waitupia Mpira Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sarakasi zinaendelea.Tume ya uchaguzi NEC imenukuliwa ikiwatupia mpira jeshi la polisi kuwa ndilo linalohusika kuhakikisha kampeni hazizidi saa 12.Tume imeruka kimanga baada ya kupokea hoja kutoka kwa wadau kuwa juzi CCM wakati wakizindua kampeni Jangwani walizidisha muda zaidi ya nusa saa kinyume na taratibu...
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POA NA SISI UKAWA TUTAFANYA HINYO TENA MPAKA SAA MOJA,. MAANA KUNA MAMBO MENGI YA MUHUMU YA KUONGEA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU, KWA WATANZANIA WENZETU MALOFA NA WAPUMBAFU WENZETU

    ReplyDelete
  2. CCM ndio kila kitu au wewe hujui...!?
    Kidumu chama cha mtanzania
    ( ccm )

    ReplyDelete
  3. nyani hawezi ihukumu kesi ya ngedere

    ReplyDelete
  4. What appears an apparent tactic to pull ccm back into the game is that, NEC as a referee is looking at the linesmen to see if it was an off-side trick; and because the linesmen did not raise any flag; the referee let it GO! Oooh; my GOD. This is seems to be going to be an unfair GAME, right at the word GO! God bless Africa, God bless Tanzania; God bless POPLE's power! Eventually, it is the PEOPLE! Hata iwe miaka mia nane; UHURU wa kweli utapatikana TU. Na nyie watawala mtakaa pembeni, mpishe kutawaliwa PIA! Kwa nini mnaABUSE POWERS NAMNA HII JAMANI? Wewe unataka tuu madaraka; unataka tuu mali; unataka hata na watoto wako; wake zako; na hata michepuko yako wapate zaidi ya wengine! It is ok; in a capitalistic society watu wengine wanaofanya kazi zaidi; kwa maarifa zaidi; kwa ujuzi zaidi-wapate zaidi....Lakini HII kujichukulia TU kwa sababu fulani yuko PALE wizarani! This is too much! It is nothing BUT nonsense. Ndio maana singapore JAMAA alipochukuwa madaraka alifanya alivyofanya! Wako wapi siku hizi Singapore? Ww kikwerte unatudanganya tuu; chakula chako cha mchana unakulia D.C. breakfast yako unaipatia Australia; na dinner yako unaipatia Southe Africa au Tokyo ---- NA SI KWA PESA YAKO Ya mfukoni, BALI KWA HELA YETU YA KODI! God, NO! NO!! WE cant handle this no MORE! Hata wafadhali wamekuambia - NO at some point during your 10-tenure of office - walikunyima PESA! Hukuwa na jeuri kama ya MOI ya KUSEMA no kwao. Ulienda D.C. kubembeleza!! CCM ina UKOMA, UKIMWI, NA TB! Ni mbaya sana kuwa na magonjwa haya yote kwa wakati mmoja ati! Daktari atakuambia - Nenda kapate concoction ya dawa - ambazo hata yeye hajui! Eee Mungu ibariki Tanzania na watanzania wote, isipokuwa ccm na watu wake!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anony mdau 4:33 PM Utachonga na kuhubiri sana lako moja huna subiri 25 October Magufuli mbeleeeeeeee kwa mbeleeeeeeee

      Delete
  5. We anon Aug 25; aT 6:38 PM LABDA NI WEWE UNAEFURAHIA MFUMO WA CCM; MIMI BABANGU ANAHANGAIKA na retirement yake; na kila kitu shaghala baghala BILA MPANGILIO NDANI YA NCHI YETU, GIVE ME A BREAK, SIR/MA'AM!

    ReplyDelete
  6. yaani katika Hotuba ya Mkapa wameona Pumbafu na Marofa kwa kweli Akili nyingine sijui ni Bange ama la Hasha

    Chadema siwapendi kama Harufu ya Chooni wachochezi sana na kila mikutano yao watu huibiwa nahisi ni Genge la wahuni ndiyo hushabikia Ukawa

    ReplyDelete
  7. ccm SIWAPENDI Kama CHOO cha CITY! Viongozi wa ccm, kuangazia wa ngazi za kitaifa hadi waenezaji wa sera zao, wote wana maneno machafu kuliko hata choo cha city!

    ReplyDelete

Top Post Ad