WEMA SEPETU Amjibu Nuhu Mziwanda..Amtaka Ajishughulishe na Aache Umarioo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

'Naitwa Wema Sepetu na ntabaki kuwa Wema Sepetu... Iam Number One... Sina muda wa kubishana na watoto...Nina muda wa kufanya kazi na kwa sasa jicho langu limeelekea kwa Wanyaturu wangu Singida na kwenye siasa yangu pamoja na kazi zangu za maana bila kusahau entertainment niliokuwa ninayo from 2006 ... Kumbe wakati mi nimelala nyie mnaandika Instagram... Ntapata dhambi kugombana na watoto wadogo-ambao nimewazidi sio pesa tu hadi dhambi pia nimewazidi.... Mstafute kick kupitia jina la Wema jamani... Jitume, amka, usibweteke, fanya kazi.... Umarioo mwisho Chalinze maana Dar wote tuna Hustle... Ama nene....' Wema Sepetu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio maana ulikwatwa, unajisifia sana na kujiona no.1, huna lolote mpuuzi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahah eti namba one. Kweli lakini namba one wa kulala na waume au wapenzi wa watu. Wanyaturu have spoken. Hawataki kuwakilishwa na changu doa. Mbona CK alivyokuja hukuwaza hata nusu sekunde ukavua chupi na kumvunjia ndoa yake. Wewe huna pesa wala akili. Kaa kimya acha wasio na kinyaa wakuvuruge. Dai kakuvuruga mbele na nyuma na shoo kakuchezesha. Halafu kasepa. Nakumbuka siku ile pale mlimani city alikukomeshajeee. Akakukuta China akapiga uruzi ukarudi. Ulivyo fukara wa mawazo.kwi kwi kwi. Yule mume aliekuoa yupo? Maana ulitangaza kwa tashtiti kuwa wewe ni mke wa mtu. Jipange upya mamaaa. Viti 90 hahahhahhah

      Delete
    2. Go hang urself! u are too stressed. every single word tells the magnitude of ur frustrations! and yes, she is number one, u there???

      Delete
  2. fanya yako Wema, usibishane na kinuka mkojo!

    ReplyDelete
  3. achana nao wanatafuta pa kutokea Wema. si unajua hali zao ni mbaya kwa sasa wanahaha tuu.

    ReplyDelete
  4. Nuhu anapenda makubwa na hayawezi, kakosa la kufanya anahangaika na Wema hakupati hata robo,usimjibu wako wengi wanaoangaika na Wema ili atoke kimaisha.

    ReplyDelete
  5. rudi shule mziwanda jimama lishakutoa akili huna pa kushika, hasira zako zisiishie kwa Wema hana mpango na vinuka mkojo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh aiseeeee!!! Hiyo kali hahahahahahahahahahhahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

      Delete
  6. yes Wema she is no 1. kama kimekuuma kunya boga, na uhare damu!

    ReplyDelete
  7. Achana nao wasikushushie hadhi yako anaona aibu uyoooooo

    ReplyDelete
  8. Alioanza haonekani lakini aliemaliza ndio ninomaaaaa wema kamaalikuwa hatakimaneno kwanini akatowa hiyo record she must be joking she is tomuch why everytime scandal it seems she dont know what she want jealous woman

    ReplyDelete
  9. Pata internet ya nguvu mwezi mzima bila kikomo download angalia video youtube utakavyo kwa sh 20,000/= mwezi mzima pia ukiwaalika marafiki zako 20 utapata bando la mwezi mzima bureee kwa maelezo piga 0719125398 au email growntz@gmail.com

    ReplyDelete
  10. WEMA IS NUMBER 1 EFER FROM BURUNDI

    ReplyDelete
  11. Number one kwa umalaya au kingine?

    ReplyDelete
  12. umalaya ni sifa kubwa sana kwa mwanamke.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!

      Delete
  13. yal cant see from the pics she is number 1 in big fat lips good for suckin dicks hahahahahah about dar being a hustlers town i guess u right word of advice people dnt turn a hoo into a hse wife....better yet a POLITICIAN!!

    ReplyDelete
  14. kwa habari motomoto tembelea www,eaglefm.blogspot.com achaneni na kusoma umbea usio na maana humu..

    ReplyDelete

Top Post Ad