Wingi wa Swala Haukimbizi Simba Porini....Wewe Kijana Unayemkimbilia Kumfuata LOWASSA Ukawa Unajua Unajifungia Opportunities Mwenyewe?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

" WINGI WA SWALA HAUMKIMBIZI SIMBA PORINI". TUKUTANE TAREHE 26/10/2015......
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI:- Now FACT is Picha ya kushoto ni CCM na Kulia ni Muungano wa vyama Vingi vya UKAWA against Chama Kimoja tu CCM..the FACT is Lowasa ndani ya CCM alipata wadhamini 800,700 lakini toka aingie UKAWA waliotoka kumfuata hawazidi 2,000...another FACT ni kwamba Lowasa alisindikizwa na Wenyeviti wa CCM Mikoa 15 kwenye kurudisha Fomu yake ya CCM mpaka leo waliomfuata UKAWA hawazidi 4....

Another FACT Meneja Mkuu wa kampeni za Lowasa CCM alikuwa Bashe mpaka leo amegoma kabisa kumfuata Boss wake UKAWA... another FACT Wabunge 150 wa CCM walikuwa wanamuunga mkono Lowasa akiwa CCM mpaka leo hakuna Mbunge aliyeshinda Kura za maoni CCM aliyemfuata Lowasa amefuatwa na wasiozidi 10 na wote wameshindwa kura za Maoni kwanza ndio wamemfuata hahahahaha...another FACT ni kwamba Dr. Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa waliomtetea sana Lowasa Kamati Kuu kwenye mchujo wa Urais wameapa kwamba hawatakuja kumfuata Lowasa huko UKAWA....INFACT the FACT is jana Dr. Nchimbi kwenye kikao cha Baraza Kuu la UVCCM alisema "Watuwazima mkisha kaa kwenye kikao na kukubaliana kama tulivyofanya Dodoma kwenye kuchagua mgombea, halafu wewe ukatoka hapo ukaenda kinyume na makubaliano hufai kuwa Kiongozi wa Taifa ni Msaliti"....

FACT Lowasa amejitoa CCM kwa sababu at his age and time hakuwa na alternative ya kusubiri Miaka 5 ya uchaguzi tena NOW WEWE KIJANA UNAYEMKIMBILIA KUMFUATA LOWASA UKAWA unajua unajifungia opportunities mwenyewe cause unachokifanya ni "Point of no return" I mean yaani unaaamini Bashe Manager wa Lowasa hana akili wewe unazo zaidi? THINK.ABOUT IT TAFAKARI KABLA HUJARUKIA TRENI KWA MBELE! jamani I was just thinking aloud! Hahaha kama una tatizo jibu na FACTS PLEASE! ONLY FACTS HERE BABY!....WINGI WA MBUZI HAUMKIMBIZI SIMBA U KNOW - le Mutuz 

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaaani we Lemutuz ndo mana unatukanwa katika mitandoa ya kijamii kumbe huna akili utakua ulizaliwa kabla ya siku zako. HIvi watu wanamfuata lowasa au wanataka mabadiliko? Hata ukaweka jiwe ukaliita ukawa litapigiwa kura watu wamechoka na ccm. Acha ujinga kama hujui kusoma hata picha huoni ntamuita yule mchaga akunyambue humu kapike kama huna la maana kazi kujibebisha tu hapo

    ReplyDelete
  2. kila stage ya ukuaji inamaana yake ikimaisha huyu jomba karuka baadhi ndo maana yumo hivi, yeye kapata opportunity ngapi ndani ya CCM kuwekwa mjini au kujibebisha endelea kufikiri kwa sauti unataka fact na ulichotoa ni opinion kwanza elewa tofauti ya hayo maneno; kama fact toa fact, unaniuzi wewe never miss kila shughuli upo and huna la maana ulifanyalo humo zaidi ya kujibebisha yaani da flora ndo komesha yako...

    ReplyDelete
  3. Shame on you Lemutuz kwa maana hujui ukiandikacho otherwise if you don't have anything useful to share at this special moment please shut up your idiot and empty mind na utulie kama haupo vile Tz japokuwa upo maana unakeraa kwanza hujui fact na opportunity ni nini so usitake matatizo ya kujitakia kwa tabia zako za kilimbukeni za kutaka kuharibu furaha ya nguvu ya umma ukweli ni kwamba huna athali wala madhara yoyote kelele zako ni sawa na nyuki wa mashineni acha hizo tabia zako za kitoto kutishia kujamba wakati unaharisha ushakuwa bana jiheshimu na hivyo vijikauli na vijimisemo vyako. Bilashaka utakuwa shatusoma vizuri na kujua picha ilivyo.

    ReplyDelete
  4. MTOTO WA KENGE NI KENGE.Kwanza naomba unithibitishie jee kweli umeandika haya wewe Willie mtoto wa mke wa kwanza wa mzee Misi kati ya wake lukuki aliyewahi kuwa nao,aliyekataliwa na kuandikiwa Kitabu na Hayati Mwalimu msingi mkubwa ukiwa ni Ugonjwa wa Oa Oa?Ninajua[kwa kuona tabia zako-wembe usiojali gonjwa] sema nianze.

    ReplyDelete
  5. tako la baba yako na pia huna adabu.wewe ni kijana mtu mzima na mavuzi yamekujaa hadi kidevuni lakini unafanya mambo ya kitoto.sijui baba ako anajivunia nini kuwa na litoto shoga kama wewe.wenye umri kama wako akiwemo January Makamba,Steaven Masele na wengine wanapambana kufanya maisha yao yawe bora na kusaidia jamii sio wewe kutwa unachati mitandaoni kutafuta kick mjini kwa kutumia jina la baba yako ambae kimsingi hata na yeye hakili hana

    ReplyDelete
  6. yaan mkuu sijaona hata point moja ya msingi zaidi ya PUMBA NA MASHUDU, watu wanataka mabadiliko sio porojo tuu... na kwa sababu wewe upo town na unajibebisha (kama walivyosema wadau hapo juu) hujaona mateso ama mahangaiko wanayopata watanzania huru huko vijijini na nikwasababu ya mfumo mbovu sana wa hiyo CCM unayoitukuza...
    LOWASA anapendwa na watanzania kwa sababu wameona mabadiliko ndani ya uongozi wake... wewe unadai watu waliokuwa wanamsapoti akiwa CCM hawajamfuata ok fine JE wewe unajua wanayoyawazo mioyoni mwao juu ya LOWASSA?
    I ADVICE YOU TO THINK BIG B4 YOU POST THOSE NON-SENCE OF YOURS

    ReplyDelete
  7. Hivi ni nini watu wanataka kifanyike ndo wajue Tanzania imeendelea? Hakuna kiongozi atakae kupa chakula bali kazi ya viongozi kufanya yale mambo ya kijamii kama barabara, mahospitali, shule n.k.

    Huyo Lowasa ataleta mabadiliko gani kwa mfano?? hizo pesa anazomwaga sasa hivi mnadhani akishachaguliwa mtaziona?? Wapiii!!! Akijaaliwa kuingia Ikulu kazi kubwa atakayoifanya ni kurudisha pesa zote alizozitumia na mtabaki kusema khaa kumbe ndivyo alivyo huyu!! To late tena kwani majuto ni mjukuu huja kinyume.

    Labda wale walozaliwa enzi za Mkapa ndo hawajui tulikotoka lakini wazamani wanaposema hakuna maendeleo nawashangaa mpaka basi. Hivi kweli unathubutu kutamka kinywa wazi kwamba CCM haijafanya lolote kweli??? Ama kweli mataka nyingi nasaba hupata mwingi msiba - iko siku mpasema LAITI TUNGEJUA ........... ndo basi tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mburula, hakuna anaefata pesa kwa Lowassa, bali tunataka change, kama wewe upo ccm kwa ajili ya pesa ni wewe lo!! we wanner change, and change only! so shut up you big mouth.

      Delete
  8. you know le kubwa jingaz

    ReplyDelete
  9. Kuna kipindi huwa namkubali huyu jamaa, ameongea facts tupu, utake usitake

    ReplyDelete
  10. we lemutuz ni tuzi kweli nimeamini. yan haki yetu wenyewe tuogope kisa oportunities????? kumamae nasema wangepewa oportunities kina babu seya watoke kama ishu ni oportunities ila kwakuwa rais wako anapenda mademu ndomana unatetea ukuma.fala wewe tena primitive haswa maaluni wa kike we.OVER

    ReplyDelete
  11. Eti mnataka mabadiriko that's right but hamjui nani atawapa mabadiriko nyinyi mnafuata tu hata asiyekuwemo,CCM DAIMA.

    ReplyDelete
  12. Watu wamechoka na hilo li chama wewe bichwa,ata kama wangeweka jiwe kushindana na ccm mimi ningepigia jiwe,sasa utajua ni jinsi gani maoni yako nilivyoyaflush kwenye toilet.

    ReplyDelete
  13. Unajua siyo.lematuz mwenyewe fara at a nyie wengine mnao iyona ccm ni chama nyie pia mambwa tu wanao lala na binadamu akili zenu zimejaa mavi ya jalalani yaliyo jaliwa na mqnzi kibao ccm ccm imefanya nini cha mahana mnaweza sema pesa zote za madini ziko wapi unajua ajira katika sekta za madani ni watanzania wangapi wameajiriwa kwenye position za muhimu zaidi ya kuchimba tu walaji wazungu na RAIA Wa Kenya na Wa nchi nyingine nyie kazi utahira tuu nakutetea. Ccm kumanina zenu mwaka huu ndio mtajua Tupi wangapi wenye uchungu na taiga ili na hatuitaki tena ccm at a damu itamwagika kunguni nyie kamwe haitsonja madaraka labda ardhi itufukie wenye machungu na maisha ilihali tupo hai tutaichinjilia mbali nanyie mkijinyanyua tu damu zenu halili yetu man's bila kichapi nyie hamtafunguka subirini sasa lowasa asipite ndio mtajua tu wengi kiasi gani hatutaki usenge na ujinga ndani ya taiga letu we lematuz angalia sins na hao wasenge wenzio

    ReplyDelete
  14. Mbukwa ero ara Malecela,uli layon nha Sogo Siwagotole mwina manzunga Wasencha wawaha.Hicho ni kigogo kwamba si wewe si Baba yako ni Makahaba wa kutupwa akili zenu fupi.Mnashindwa hesabu ndogo,laini ya kusoma nyakati.MHESHIIWA LOWASSA ANACHUKUA NCHI KWA USHINDI WA ASILIMIA 93 MAGUFULI 4.UPO HAPO WE BWEGE-LAANA-KUL

    ReplyDelete
  15. Kumbe mmechoka chama nimewaelewa ivi waTanzania tuwaribu amani na utulivu kwa watu wachache acheni uchu wa madaraka acheni kufuata mkumbo kama uwipendi ccm ama nchi.

    ReplyDelete
  16. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  17. Kwa kweli kwa huu utaratibu CCM wamepoteza sana na wanazidi kupoteza kwa kuanza kutoa sababu ni bora waanza kujiweka katika mazingira ya kutoka Ikulu nguvu ya umma ni kubwa..............................

    ReplyDelete
  18. KANIPIGIA SIMU BABA YAKE,ANAMUOMBEA RADHI MWANAE LE MUTUZ KWA KUFUMUA JANGA.NIMEMJIBU HIVI,HAYO ALIYOLOPOKA MBEBEZ KATUMWA NA YEYE BABA MTU.MOTO UMEWAKA WACHA WAUNGUE YEYE NA MWANAE.LOWASSA BABA,CCM TUMEANZA KUUNGUA.UKAWA TUANGALIENI KWA JICHO LA HURUMA.HATUKUWEPO DODOMA.MAMA YANGU.HURUMA,HURUMA.

    ReplyDelete

Top Post Ad